Jinsi ya kukaanga Karanga na Chumvi

Jinsi ya kukaanga Karanga na Chumvi

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,463
Reaction score
65,772
Hello

Kwanza zioshe vizuri sana karanga zako kisha weka chumvi ya kutosha, then una ziaacha kwa muda fulani ndio una weka jikoni kwa moto mdogo kama hivi
1758440913568.jpeg

Endelea kukologa pole pole mpka zibadirike kama hivi
1758440964704.jpeg
Uku una zio onja ili zisije ungua zikiwa teyari ziache zipoe
1758441032644.jpeg

Baada ya hapo mm nilichukua na karanga ambazo siku zikaanga nika zichanganya mimi napenda hivi tu zina kuwaga mzuri sana ukiweza jaribu
1758441108283.jpeg

Niambie ni kitu gani kingine una tamani kujua kupika niki pike wiki hii
 
Back
Top Bottom