Nawezaje Kurun GTK App on Windows

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habari wadau mdogo wenu bado napigika na mambo ya coding mdogo mdogo hope tutafika tu niliwahi kuwaeleza ndugu na wadau humu ili uweze kujua coding haraka ni lazima ujua kusoma code za watu na kuzielewa huwezi kufanya kila kitu alone itakugharimu mda sasa katika pita pita zangu huku nikagundua kuna GUI BUILDER ya c / c++ programming inaitwa GTK.

Nikaenda kwenye website yake nikafuta maelekezo ya kuinstal io gtk balaa likaanzia hapo hapo kwanza nikashangaa badala u instal GTK km GTK unaambiwa uinstall kwanza MSYS2 hii sio GUI ni command shell ln sikukataa tamaa ikabidi tu nifuate maelekezo nikafanya kila kitu.

Nikainstall

MSYS2

GTK3 pacman -S mingw-w64-x86_64-gtk3

MINGW

GLADE pacman -S mingw-w64-x86_64-glade

TOOLCHAIN

Na kwa bahati nzuri katika website ya GTK ZIPO App ambazo tayari zimeshatengenezwa na GTK na source code zake zipo sasa sasa nikainstall git ili niweze kuzi clone izo source code nikazidownload zote vzr sasa nikawa nataka nianze kuzirun kabla sijaanza kuzisoma aisee mpaka sasa nimetoka kapa maelezo katika website yao yanachanganya sana naomben msaada.


1637339506129.png


Screenshot (38).png


Screenshot (39).png


Screenshot (48).png






Screenshot (51).png


Screenshot (52).png


Screenshot (49).png
 
Back
Top Bottom