Jinsi ya kuifanyia simu root assess

Jinsi ya kuifanyia simu root assess

Umesema miongoni mwa faida ya ku root simu ni Kuiongezea uwezo simu kwa kuongeza version baada ya Ku root Je! Itajiongeza yenyewe automatic baada ya Ku root au kuna sehemu utachagua Wewe iongezeke hadi version IPI?? Au inaongezeka kwa step1 kama ilikuwa 5.0 unaweza kuwa 6.0??? Na IPI faida ya ongezeko LA version kwenye simu??? Je labda inaweza ongeza uwezo wa camera au?? Nahitaji kujua b4 sijaamua Ku root kwakweli


ewaaaaaaaaaaaa, na mimi nasubiria jibu hapa
 
Naidownload king root ikifika 90% inajizima kisha inajiwasha tenaa nifanyeje mkuuu
 
Wakuu, mimi nimejaribu mbinu zote kuroot simu yangu aina ya galaxy note 4 (verizon) kuanzia framaroot, kingoroot (both apk & pc version) na kingroot lakini sikufanikiwa. Msaada tafadhali
 
Android version ngapi ndugu ?
0642ebc81681f4e7b68467fec5ed5fe2.jpg
 
Mkuu hiyo simu yako inawezakana mpk uwe na pc kuna uzi niliuweka namna ya kuroot android 6.0 hadi 7.0 mpk pc ukipata nicheki team viewer niroot simu yako bila malipo yoyote kwako tu ili ulete udhibitisho sawa .
 
Mkuu hiyo simu yako inawezakana mpk uwe na pc kuna uzi niliuweka namna ya kuroot android 6.0 hadi 7.0 mpk pc ukipata nicheki team viewer niroot simu yako bila malipo yoyote kwako tu ili ulete udhibitisho sawa .
Poa kaka....ntafanyaa Ivoo by week Ijayo Ntakuchek Kwen team Viewer nakutaftaje kk
 
Back
Top Bottom