Jinsi ya kuifanyia simu root assess

Faida zake .
1.kuiongezea utendaji kazi simu yako kwa kuweka android version mpya baada ya kuroot.
2.Simu yako kuweza kutunza moto.
3.Simu yako kuwa na uwezo wa kuondoa application ambazo zimekuja na simu ambavyo si rahisi kuondoa km haunaroot simu yako .
4.Simu yako kuwa na uwezo wa kudownload application ambazo zilikuwa zikakataa ila baada ya kuroot hukubali .
5.Simu yako kuwa salama na huru kufanya wizi wa vitu vilivyopo playstore ambavyo vingine vinakuja na licences lkn ukiroot utaiba application na kuondoa licences yake au kuonesha umelipia kitu na kupewa vertification km poweramp ,titanium key premium n.k

ZIPO FAIDA NYINGI LAKINI NI BAADHI TU NIMEKUPA HIZO .

HASARA SASA

1.KUONDOA WARRANTY KWENYE SIMU YAKO .

2.SIMU YAKO KUSTUCK WAKATI UNAPEROOZ VITU ILA UKIFUATA MUONGOZO VEMA HILI HUTOKUTANA NALO .

3.KUUA SIMU MILELE NA MILELE KM HUTOFUATA SHERIA ZA KUROOT SIMU .
4 .SIMU YAKO KUWA NA ADS WENGI MPK UWEKE AD BLOCKS ILI KUWAONDOA .

NI HAYO TU HAYA LETENI MENGINE .
Nashkur sana mkuu ila sasa baada ya kuona hizo hasara naogopa kuroot maana naeza uwa my phon
 
Wale wenzangu wakuhitaji kuroot simu zao zenye android version 6 .0 na 7.0 tuonane hapa ni mahala pake .
 
Wale wenzangu wakuhitaji kuroot simu zao zenye android version 6 .0 na 7.0 tuonane hapa ni mahala pake .
Mimi hapa nina tablet ya voda ina andoid 6.0 nataka kuiroot. Nimejaribu kingroot na kingoroot version ya simi na pc zote zimegoma. Nifanyeje
 
Kuna njia muhimu ili ufanikiwe lkn kwa hiyo njia yako huwezi fanikiwa ndugu yangu
 
Hii kitu kuroot cm sitaki kuisikia, mwaka juzi nilijaribu kuiroot yangu ndo ikanifia mkononi imekataa kuwaka hadi kesho
 
KABLA YA KUROOT SIMU YAKO FANYA HATUA NILIZOTOA MWANZONI KWENYE HII THREADS THEN FUATA HATU HIZI HAPA KWA SIMU AMBAZO NI KUANZIA ANDROID VERSION 6.0 NA 7.0 ILA NEXUS HATUJAFIKA HUKO KUNA NJIA ZAKE .

HAYA KWANZA KABISA FANYA YAFUATAYO ILI UFANIKISHE KUROOT SIMU YAKO :-
1.UNLOCK BOOTLOADER .
2.BACKUP USERDATA ILI USIPOTEZE VITU MUHIMU .

TWRP
FLASH TWRP

HAYA DONWLOAD (twrp img) na KINGO ROOT TOOLS .

ukimaliza fuata haya maelezo pia

Fungua KINGO ROOT TOOLS folder, baada ya hapo type CDM kwenye adress bar baada ya hapo bonyeza ENTER .na uandike yafuatayo baada ya kufunguka .
adb reboot bootloader
fastboot boot ( pull the twrp.img into cdm)

baada ya hapo weka supersu kwenye internal storage ya simu yako pamoja na memory card.Bonyeza kuflash baada ya hapo itamaliza simu itarestart na moja kwa moja automatically supersu itacomfirm umeroot baada ya hapo weka ROOT CHECKER itakwambia congratulation umefanikiwa kuroot simu yako haya enjoy .
kama hujaelewa njoo pm .
 
  • Thanks
Reactions: Paa
Hii kitu kuroot cm sitaki kuisikia, mwaka juzi nilijaribu kuiroot yangu ndo ikanifia mkononi imekataa kuwaka hadi kesho
Naiwasha ndugu kama upo tyr simu gani hiyo msingi uwe na pc kama inadetect verry simple kuiwasha
 
KABLA YA KUROOT SIMU YAKO FANYA HATUA NILIZOTOA MWANZONI KWENYE HII THREADS THEN FUATA HATU HIZI HAPA KWA SIMU AMBAZO NI KUANZIA ANDROID VERSION 6.0 NA 7.0 ILA NEXUS HATUJAFIKA HUKO KUNA NJIA ZAKE .

HAYA KWANZA KABISA FANYA YAFUATAYO ILI UFANIKISHE KUROOT SIMU YAKO :-
1.UNLOCK BOOTLOADER .
2.BACKUP USERDATA ILI USIPOTEZE VITU MUHIMU .

TWRP
FLASH TWRP

HAYA DONWLOAD (twrp img) na KINGO ROOT TOOLS .

ukimaliza fuata haya maelezo pia

Fungua KINGO ROOT TOOLS folder, baada ya hapo type CDM kwenye adress bar baada ya hapo bonyeza ENTER .na uandike yafuatayo baada ya kufunguka .
adb reboot bootloader
fastboot boot ( pull the twrp.img into cdm)

baada ya hapo weka supersu kwenye internal storage ya simu yako pamoja na memory card.Bonyeza kuflash baada ya hapo itamaliza simu itarestart na moja kwa moja automatically supersu itacomfirm umeroot baada ya hapo weka ROOT CHECKER itakwambia congratulation umefanikiwa kuroot simu yako haya enjoy .
kama hujaelewa njoo pm .
Shukrani nitaleta mrejesho baadaye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom