Jinsi ya kuifanyia simu root assess

KABLA YA KUROOT SIMU YAKO FANYA HATUA NILIZOTOA MWANZONI KWENYE HII THREADS THEN FUATA HATU HIZI HAPA KWA SIMU AMBAZO NI KUANZIA ANDROID VERSION 6.0 NA 7.0 ILA NEXUS HATUJAFIKA HUKO KUNA NJIA ZAKE .

HAYA KWANZA KABISA FANYA YAFUATAYO ILI UFANIKISHE KUROOT SIMU YAKO :-
1.UNLOCK BOOTLOADER .
2.BACKUP USERDATA ILI USIPOTEZE VITU MUHIMU .

TWRP
FLASH TWRP

HAYA DONWLOAD (twrp img) na KINGO ROOT TOOLS .

ukimaliza fuata haya maelezo pia

Fungua KINGO ROOT TOOLS folder, baada ya hapo type CDM kwenye adress bar baada ya hapo bonyeza ENTER .na uandike yafuatayo baada ya kufunguka .
adb reboot bootloader
fastboot boot ( pull the twrp.img into cdm)

baada ya hapo weka supersu kwenye internal storage ya simu yako pamoja na memory card.Bonyeza kuflash baada ya hapo itamaliza simu itarestart na moja kwa moja automatically supersu itacomfirm umeroot baada ya hapo weka ROOT CHECKER itakwambia congratulation umefanikiwa kuroot simu yako haya enjoy .
kama hujaelewa njoo pm .

Mkuu, sorry, nahitaji msaada kidogo:

1. Hizo download zote nazifanya kwenye pc au simu?

2. Kwenye kuandika maneno kwenye cdm naweka na hizo bracket au, Maana hapo nimeshindwa kuelewa.

3. How to unlock bootloader?

4. TWRP and flash TWRP? How?
 
Kwenye pc
 
Nyingine nimezieleza km ni kwenye simu bas tia kwa simu
 
KABLA YA KUROOT SIMU YAKO FANYA HATUA NILIZOTOA MWANZONI KWENYE HII THREADS THEN FUATA HATU HIZI HAPA KWA SIMU AMBAZO NI KUANZIA ANDROID VERSION 6.0 NA 7.0 ILA NEXUS HATUJAFIKA HUKO KUNA NJIA ZAKE .

HAYA KWANZA KABISA FANYA YAFUATAYO ILI UFANIKISHE KUROOT SIMU YAKO :-
1.UNLOCK BOOTLOADER .
2.BACKUP USERDATA ILI USIPOTEZE VITU MUHIMU .

TWRP
FLASH TWRP

HAYA DONWLOAD (twrp img) na KINGO ROOT TOOLS .

ukimaliza fuata haya maelezo pia

Fungua KINGO ROOT TOOLS folder, baada ya hapo type CDM kwenye adress bar baada ya hapo bonyeza ENTER .na uandike yafuatayo baada ya kufunguka .
adb reboot bootloader
fastboot boot ( pull the twrp.img into cdm)

baada ya hapo weka supersu kwenye internal storage ya simu yako pamoja na memory card.Bonyeza kuflash baada ya hapo itamaliza simu itarestart na moja kwa moja automatically supersu itacomfirm umeroot baada ya hapo weka ROOT CHECKER itakwambia congratulation umefanikiwa kuroot simu yako haya enjoy .
kama hujaelewa njoo pm .

Sorry boss.. tuvumiliane, wengine ni slow learner Kaka.

1. Hiyo bootloader ntawezaje ku unlock, kwa kutumia app gani?

2. How to flash hiyo TWRP?

3. Mimi kingo root yangu haina folder, yaani ipo independent, ile ya exe. Nafanyeje hapo? Na je hiyo TWRP naweka sehem Moja na hiyo kingoroot?

4. Hayo maneno ya ku type kwenye cdm yanakuwa na hayo mabano?

5. Nabonyeza wapi hiyo ku flash?
 
Ndiyo ndugu yangu
 
Umesema miongoni mwa faida ya ku root simu ni Kuiongezea uwezo simu kwa kuongeza version baada ya Ku root Je! Itajiongeza yenyewe automatic baada ya Ku root au kuna sehemu utachagua Wewe iongezeke hadi version IPI?? Au inaongezeka kwa step1 kama ilikuwa 5.0 unaweza kuwa 6.0??? Na IPI faida ya ongezeko LA version kwenye simu??? Je labda inaweza ongeza uwezo wa camera au?? Nahitaji kujua b4 sijaamua Ku root kwakweli
 
Mkuu halo solution uwe na firmware unlocked or peleka kwa nafundi software wataunlock ila km inadai code ukiweka laini nyingine hemu niambie nikufanyie utaratibu .
ZTE from Tigo nikiweka lain nyingine inaniomba code,namba msaada kakamkubwa,halafu ndiyo simu inayoyunza moyo kwangu
 
Faida ya kuroot Simu unaitoa kifungoni kwanza .
pili udukuzi wa application na kuziondolea licence sasa utakuwa umefika .
Kutumia simu yako kwa kuweka madiko diko matamu haswa mpk miandiko za samsung .
kuiwezesha simu iwe na uwezo wa kutunza moto ila mpk upate application inaitwa l_battery .
HASARA : KUONDOA WARRANTY WA SIMU NA KUUA SIMU ENDAPO HUTOZINGATIA MASHARTI
Hii nzuri
 
Kabla ya kuroot simu yako fanya yafuatayo kwanza
.Simu yako iwe na moto asilimia 50% au juu zaidi .
.Uwe na internet connection wakati wa kuroot simu yako .
.Hakikisha unaporoot simu yako uwe umefuata muongozo kama huu
Moja fungua _setting_ kwenye simu yako namna hiiView attachment 651775
Shuka chini utakutana na sehemu imeandikwa ABOUT PHONE haya fungua hapo Then angalia hapo utakutana na sehemu imeandikwa [HASHTAG]#BUILD[/HASHTAG] NUMBER# hayaView attachment 651777namna hiyoo haya click hapo mpaka itakapokwambia tyr umebuil developed option haya rudi nyuma hadi kwenye About phone utakuta kuna sehemu imeongezeka inaitwa >developer option > haya click hapoView attachment 651782 iturn on hapo pamoja na USB DEBBUGING ukimaliza sasa mpaka hapo bado step moja .Salia hapo setting nenda sehemu imeandikwa> Security> haya bonyeza hapo utakutana na vipengele vingi haya click hapo >unknown sources weka tiki mpk hapo ndugu yangu umemaliza haya turudi kwenye swala muhimu KUROOT SIMU YETU ILI UFANIKIWE BILA PC UFANYEJE ? BINAFSI NAKWAMBIA HUWEZI ROOT SIMU INAYOANZIA NA VERSION 6.0 BILA PC HAPO NDUGU MPK PC ILA ZINAZOSHUKA MPK CHINI TWANGA BILA PC MZIGO UNAKAA VEMA ASEE ..

HAYA INGIA GOOGLE SEAECH AU MOZILLA AU CHROME SEARCH KITU KINAITWA KING ROOT APK DOWNLOAD ,HII HAINA CHENGA HAYA INSTALL ILA KUWA MAKINI UKIWA UNAINSTALL SUBIRI HAPO YATATOKEA MAANDISHI YANAKUKATAZA USIINSTALL KUNA KAMSHALE KANAMNA HII^ ,Ila kameelekezwa kwa chini haya click hapo keep unsafe itatokea bonyeza hapo na itainstall ikimaliza fungua hiyo king root then anza process za kuroot kuna kamshale kanajitokeza ukifungua king root namna hii ^ bonyeza hapo mpk litokee neno start haya itaanza kustart mengine utayaona na kusolve taratibu na bakia hapo hapo itachukua km dakika 6 au 5 kumaliza na kukuambia ROOT SUCESSFULLY haya weka ROOT CHECKER ipo playstore ili kujiridhisha km kweli ikikwambia CONGRATULATION jua tyr mpk hapo anza kuitengenezea simu yako mambo mazuri kama Lucky patcher ,titanium,l _battery n.k .

MPK HAPO TUMEMALIZA ULIZA NAWE

Mkuu vipi kwa sisi wa HTC?
 
Naomba kuuliza ukitaka kufuta Google account ya mtu mwingine kwenye simu unaifutaje bila kujua password zake

nakumbuka nilishawahi kufanya hii kitu kwenye simu ya jamangu ya Vodafone VFD 300, aliinunua mkononi mwa mtu baada ya kui-factory reset ikawa inataka aweke google account iliyokuwepo mwanzo, nilichofanya nikaingia youtube nikakutana na video ya jamaa fulani hivi anaelezea jinsi ya ku-bypass gfoogle account, nilifuata maelezo na hatimae mzigo ukaamka...

jaribu ku-google mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom