Jinsi ya kugundua simu feki za samsung

Jinsi ya kugundua simu feki za samsung

wote naona mnacheza na clone nyie! kuna clone zinakaribia 1:1 test zote hizo zinajibu.
 
Ingiza code hii *#0*# kisha piga. Utapata menyu ifuatayo:-
View attachment 152366
Bonyeza tab ya red na screen yako itabadilika rangi na kuwa nyekundu.
ukibonyeza tab ya green screen yako itabadilika kuwa kijani vile vile.
ukibonyeza tab ya vibrating simu yako ita vibrate n.k
Hakikisha tabs zote zina react kuendana na maelezo ya tab husika.
Command mojawapo ikifeli, simu hiyo siyo samsung original.
(tumia keypad kwa simu zisizo na touch screen)

Code za ziada zinazotumika kwenye simu original za samsung.
*#1234# (View SW Version PDA, CSC, MODEM)
*#0*# (General Test Mode)
*#12580369# (SW & HW Info)
*#197328640# (Service Mode)
*#0228# (ADC Reading)
*#32489# (Ciphering Info)
*#232337# (Bluetooth Address)
*#232331# (Bluetooth Test Mode)

N:B code hizi zinafanya kazi kwa stock/original samsung os tu.

Ahaa iyo apo juu usiamini sana hata clone inafanya *#0*#
Jaribu code mpaka 5. Ukiona poa basi ni original iyo.
 
s4 ya kwangu imekubali karibu zote hadi nimefurahi.big up mkuu kwa elimu
 
mbona codes nyingi hivyo, ina maana mmojawapo ikikataa simu ni fake? by the way thanks a lot!!
 
Ingiza code hii *#0*# kisha piga. Utapata menyu ifuatayo:-
View attachment 152366
Bonyeza tab ya red na screen yako itabadilika rangi na kuwa nyekundu.
ukibonyeza tab ya green screen yako itabadilika kuwa kijani vile vile.
ukibonyeza tab ya vibrating simu yako ita vibrate n.k
Hakikisha tabs zote zina react kuendana na maelezo ya tab husika.
Command mojawapo ikifeli, simu hiyo siyo samsung original.
(tumia keypad kwa simu zisizo na touch screen)

Code za ziada zinazotumika kwenye simu original za samsung.
*#1234# (View SW Version PDA, CSC, MODEM)
*#0*# (General Test Mode)
*#12580369# (SW & HW Info)
*#197328640# (Service Mode)
*#0228# (ADC Reading)
*#32489# (Ciphering Info)
*#232337# (Bluetooth Address)
*#232331# (Bluetooth Test Mode)

N:B code hizi zinafanya kazi kwa stock/original samsung os tu.

Nyongeza;
Kwenye tab ya sensor ukibonyeza then ukasogeza kiganya chako kama unafunika kuifunika screen hiyo na kiganja, screen itabadilika rangi na kuwa ya kijani huku iki vibrate.

Pia kwenye tab ya touch, fanya kama unachora kuzunguka screen kwa kidole kutanisha michoro Yako toka ulipoanzia kuchora ikiwa fake Ina skip kuchora Kama unavyochora inakuwa kama inaacha gaps na mwisho itakuandikia FAILED kama fake au PASS Kama orginal!
 
Tumia program inaitwa cpu/ram device inaonyesha kila kitu kilichomo kwenye sim
 
Hii yangu mchina hata mmoja haijakubali

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wataalam nisaidieni jinsi ya kutoa screen lock password kwenye samsung galaxy s4

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ingiza code hii *#0*# kisha piga. Utapata menyu ifuatayo:-
View attachment 152366
Bonyeza tab ya red na screen yako itabadilika rangi na kuwa nyekundu.
ukibonyeza tab ya green screen yako itabadilika kuwa kijani vile vile.
ukibonyeza tab ya vibrating simu yako ita vibrate n.k
Hakikisha tabs zote zina react kuendana na maelezo ya tab husika.
Command mojawapo ikifeli, simu hiyo siyo samsung original.
(tumia keypad kwa simu zisizo na touch screen)

Code za ziada zinazotumika kwenye simu original za samsung.
*#1234# (View SW Version PDA, CSC, MODEM)
*#0*# (General Test Mode)
*#12580369# (SW & HW Info)
*#197328640# (Service Mode)
*#0228# (ADC Reading)
*#32489# (Ciphering Info)
*#232337# (Bluetooth Address)
*#232331# (Bluetooth Test Mode)

N:B code hizi zinafanya kazi kwa stock/original samsung os tu.
Jambo la msingi angalia IMEI no. au Serial No. ya hiyo simu na uitume kwenda 15685, unatuma kama ifuatavyo kwenye sehemu ya message unaadika check*IMEI no# kwenda 15685, kama ni original watakujibu hivi "IMEI .........check complete.Phone is a genuine samsung phone. SAMSUNG CARES.
Imei ya samsung imeandikwa nje ya box kama haina box andika *#06# unakuwa kama unapiga simu itakuja.
 
Jamani Nipo na HTC one naomba kama kuna code za kutambua kama ni origin.
 
nokia ebu weka *#92702689# ikikubali ni original ila isiporespond ni fake.
 
Aksante nimefanya yote iko ok. Sorry nipe msaada juu ya poor mobile network kwa original samsung galaxy S4 ina 4G network nipo Karagwe
 
Mkuu afadhali umetujuza hatutadanganywa tena. ukinunua bidhaa ya Samsung fake ni juu yako. JF kisima cha maujanja!!!!!
 
Aksante nimefanya yote iko ok. Sorry nipe msaada juu ya poor mobile network kwa original samsung galaxy S4 ina 4G network nipo Karagwe
Mkuu ngoja wajuzi waje maana nami nilikuwa na S4 tatizo upande wa Internet lilikuwa kikwazo sana sehemu niliyopo internet inakwenda hadi H lakini yenyewe inakuwa 3G tu ikanilazimu kurudi kwenye Samsung Gt 6102 ambayo inakasi sana.
 
nimejaribu kutuma IMEi kwenda 15685 nimeambiwa possibly grey import.what does it mean ni fake or?
 
Back
Top Bottom