Thomas Juma
Member
- Nov 9, 2010
- 88
- 17
Kuna nyingine ni fake lkn zinakubal iyo code. Dawa ni kuingiza code hii hapa: *#7353#
Hata hii imekubali.
Kuna nyingine ni fake lkn zinakubal iyo code. Dawa ni kuingiza code hii hapa: *#7353#
Yangu inashindwa kukubali katika code hii *#12580369# zingine zote ziko poa hadi hii uliyotoa sasahivi je ni feki nayo?
Ingiza code hii *#0*# kisha piga. Utapata menyu ifuatayo:-
View attachment 152366
Bonyeza tab ya red na screen yako itabadilika rangi na kuwa nyekundu.
ukibonyeza tab ya green screen yako itabadilika kuwa kijani vile vile.
ukibonyeza tab ya vibrating simu yako ita vibrate n.k
Hakikisha tabs zote zina react kuendana na maelezo ya tab husika.
Command mojawapo ikifeli, simu hiyo siyo samsung original.
(tumia keypad kwa simu zisizo na touch screen)
Code za ziada zinazotumika kwenye simu original za samsung.
*#1234# (View SW Version PDA, CSC, MODEM)*#0*# (General Test Mode)
*#12580369# (SW & HW Info)
*#197328640# (Service Mode) *#0228# (ADC Reading) *#32489# (Ciphering Info) *#232337# (Bluetooth Address) *#232331# (Bluetooth Test Mode)
N:B code hizi zinafanya kazi kwa stock/original samsung os tu.
Wakuu tatizo mmekarir kunawengine wanatumia simu aina tofauti. Nashujur hakuna blackberry fake o mchina.... Ndo maana hatuhitaji code kuverify..... Vry sory kwa samsang memberz.