FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,638
- 4,210
Chief-Mkwawa, Haiwezekani kuifungua yenyewe kama yenyewe, yaani bila kutumia box?Mkuu sijajua upo comfortable kiasi gani kudownload cracked box, kueka drivers, na kucheza na mambo kama hayo.
Wengi hutumia miracle box kutoa hizo mambo kama huna box la kulipia, ama Gsmaladin etc.
Tumia keyword chinese keypad ama chinese mobile na jina la box mbele. Mfano chinese keypad gsm alladin, search youtube utaona tutorials.
Ya batani huwezi tumia volume up and down ukafaulu nikushauri tu tafuta crack ya alladin install kwa pc then driver ndo uweze kuondoa password by readingChief-Mkwawa, Haiwezekani kuifungua yenyewe kama yenyewe, yaani bila kutumia box?
kwa sababu nimeangalia sehemu huko youtube nikagundua kuwa inawezekana kuifungua kwa kubonyeza batani fulani, ila tu mimi sijazielewa vema hizo batani! sasa wewe ni mzoefu nadhani utakuwa unayafahamu vema mambo haya.
kuna simu nilifanikiwa kuifungua kwa kutumia vitufe, kile cha kuzima na kuwasha pamoja na vile vya sauti. sasa hii ni simu ya batani itel t5020 napata wakati mgumu kuelewa jinsi ya kuifungua kwa kubonyeza batani.
Nifunze.
Sijawahi kuona mchina akireset kwa combination ya button, Nokia za zamani ndio zilikuwa hivyo.Chief-Mkwawa, Haiwezekani kuifungua yenyewe kama yenyewe, yaani bila kutumia box?
kwa sababu nimeangalia sehemu huko youtube nikagundua kuwa inawezekana kuifungua kwa kubonyeza batani fulani, ila tu mimi sijazielewa vema hizo batani! sasa wewe ni mzoefu nadhani utakuwa unayafahamu vema mambo haya.
kuna simu nilifanikiwa kuifungua kwa kutumia vitufe, kile cha kuzima na kuwasha pamoja na vile vya sauti. sasa hii ni simu ya batani itel t5020 napata wakati mgumu kuelewa jinsi ya kuifungua kwa kubonyeza batani.
Nifunze.
Zipo acha kukariri vitu!
huwa kuna ambazo hufanikiwa kureset kwa kutumia code ila sio zote na si kwa combination ya keys. jaribu kuulizia hizo reset code zipo sema tu hapa nmezisahau na nipo mbali na kumbukumbuZipo acha kukariri vitu!
Kwa njia gani ulifanikiwa?Nilifanikiwa wakuu
Full flashNina simu yangu ya batani Itel t5020, nimesahau Password yake, nifanye trick gani ili ifunguke?
Nimejarubu kuingia YouTube ila sijafanikiwa kupata ufumbuzi wa tatizp langu
Mwenyewe au kwa fundi simu?Full flash
Mkuu natamani kujifunza kitu kupitia wewe hapa. Kama hautojali nije pmYa batani huwezi tumia volume up and down ukafaulu nikushauri tu tafuta crack ya alladin install kwa pc then driver ndo uweze kuondoa password by reading
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe au kwa fundi simu?