Jinsi ya kufua pazia la baba

*Fanyeni kaz achen ujinga au ndiyo mkia umekatwa hamuwez kufukuza inzi*
 
Hahahahahahahahaha wallah nimechekaaaaa uwwii...live long mleta huu uzi[emoji11]
 
Hivi kwenye ndoa kuna hadi kufuliana hadi boxer? Sasa mimi nitakuwa na kazi gani?
Ngoja niongeze spidi ya kutafuta mke.
Mbona mambo matamu hivi? Sikubali yanipite.
 
Kufua koteee akavue mwengine
 
Reactions: irk
Mambo ya kizamaani.

Kwanza mwanamme anaevaa chupi huyo ana walakin. Mwanamme anavaa boxer tena "disposable".

Yanini mambo ya kufuliana kutiana sugu za mikono.

Mnashangaza!

dah kwahiyo faiza shemeji hapati huduma kufuliwa pazia kutoka kwako?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…