Wataalamu wa Android Software.. Jinsi ya ku bypass Google verification

Fabijr

Member
Sep 16, 2015
24
19
Kwa wale mnaotumia Simu za android kianzia 5.0 (lollipop ) na kuendelea mpaka 7.0 kumekuwa na tatizo pale unaposahau patten na ukafanya hard reset utakapowasha simu yako itakitaka uweke email iliyokuwemo mwanzo kwenye hiyo device na password. Kwa wale watu ambao hawako care saana na email zao au kwa mtu alonunua simu kwa mtu inampa shida..
Zipo solutions mbili ambazo zinaweza kukusaidia kuepukana na jambo hili.. Japo moja inakutaka kiwa makini saaana vinginevyo inaweza kupelekea simu yako kuharubika na kutoweza kusomwa na computers tena labda uifanye spare. Pia yapili inakuwa rahisi kwa wale ambao simu zao wanakuwa wanazitumia na wanataka kurestore Factory kwa sababu mbalimbali... na njia hizo ni zifuatazo:-

1)TOA EMAIL YAKO KABLA YA KUFANYA FACTORY RESET
kwa wale msiojua email zenu vizur au password za imail zenu katika android phone zenu ni vizuri kuremove emali yako kabla hujafaya factory reset ili kuepuka simu yako kudai Google verification.. Jinsi ya kutoa email yako ni Kufungua Setting>Accounts>Google kisha oonyeza option kisha Remove Account. Hapo simu yako itakuwa salama kufanyiwa factory reset.

2) KUTUMIA SP FLASH TOOL.
Njia hio inatakiwa kufanywa na mtu anyejua anafanya nini. Mimi sitahusika na kuharibika kwa simu yako maana hii ni kwa developers pekee. Na ukikosea sehemu yoyote inaweza kupelekea simu yako kuharibika kabisa. Baada ya kufanya hard reset na kuiwasha simu yako ikakudai Google verification na haujui ail au password za email ilokuwemo mwanzo kwenye simu yako unahitaji vitu vifuatavyo kupita hatua hii.. i) Computer au Laptop (ii) mtk android drivers za simu yako (iii) SP flash tool (hizi software zote unaweza kudownload ukisearch Google watakuletea. (iv) stock rom ya simu yako (v) usb cable. Na simu iwe na charge sio chini ya 50%
Baada ya kuwa na vitu vyote hivyo install sp flash tool kwenye computer au laptop yako na drivers za simu yako.
(a)extract stock rom ya simu yako (mara nyingi ukiidownload huja katika mfumo wa zip folder) tumia winrar kuextract baada ya apo
(b) fungua Sp flash tool na click sehemu iloandikwa *scarter* itakutaka uidairect sehemu iliyopo scarter file.. idirect folder uloextact uselect scarter file l (mara nyingi inaku2a katika mfumo wa text)
(c) baada ya hapo click sehemu iloandikwa downloa only (note sio download bali download only) itakuletea chaguzi tatu upgrade au update, format and download na Download only chagua *Upgrade(update )*
(d) clicclick sehemu yenye mshale uloaangalia chini (mara nyingi hua na rangi ya kijani imeandikwa download)
(e) Toa betri ya simu yako sekunde 5 kosha rudisha kwa simu zinazotolewa betri au zima simu yako kwa simu zenye betri ya ndani.
(f)Connect simu yako kwenye computer au laptop yako kwa kutumia usb cable kisha bonyeza button ya kupunguza au kuongeza sauti sp flash tool itadetect simu uako na inaanza kuflash simu yako.. subiri kwa mida wa dakika kama 5 mpaka imalize kujaza bar ua njano au kijani inayohesabu asilimia.. ikimaliza itaonyesha alama ya tick kuashilia imemaliza.. disconnect simu uako kwenye computer na uiwashe.. itachelewa kidogo kuwaka kwani ni kawaida hapo utakuwa tayari umeskip Google Verification na simi yako itakuwa tayari kutumika..Kwa anayejua njia nyingine tofauti na hiii basi comment tuelimishane.. kwa elimu zaidi juu ya android software follow me on Twitter @farajifabi I/g @farajis
7d75f54bae83aa0e283cb30fd203fc3c.jpg
 
Msaada ina vodafone 300 na 301 zote zina android 6.0 NZNANISHINDA KU ROOT
 
uzi wako uneuzungusha sana binafsi sijakuelewa vema bt kwa urahisi na kupunguza matumuzi ya gharama za mbs better kutumia NCK CRACK hii inaondoa FRP vema or by pass kwa wataalam ila mm without by pass kwa kutumia pc na crack hiyo kazi verry simple
 
I recomend 100%
 
Back
Top Bottom