Jinsi ya kufika TPDC Housing Estate

Jinsi ya kufika TPDC Housing Estate

Joined
Jan 19, 2014
Posts
8
Reaction score
0
Wadau naombeni mnisaidie mahali ilipo TPDC Housing estate na jinsi ya kufika huko. Nikimaanisha nipande magari gan maana mm ni mgen hapa jijin na kwa sasa niko Mbagala rangi 3 ndo nilikofikia kutoka mkoan. Hvy naomba anaefahamu vzr anielekeze kutoka MB/Rangi 3 mpk huko.
 
Panda magari ya mwenge shuka kituo kinaitwa sayansi. Panda bajaji wakupeleke tpdc housing estate
 
Ahsante kaka, kwa mchango wko, lkn mbona wanadai magari yanayotokea hku MB/Rangi 3 hayapitii kituo cha sayansi ulichokitaja hapo juu. So, hebu naomba unipe namna nyngne ya kufka huko.
 
Si ushuke upande gari jingine kwan lazima uende na gari hiyo hiyo moja hadi science


In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Ahsante kaka, kwa mchango wko, lkn mbona wanadai magari yanayotokea hku MB/Rangi 3 hayapitii kituo cha sayansi ulichokitaja hapo juu. So, hebu naomba unipe namna nyngne ya kufka huko.


wewe seyu magari ya Mbagala Mwenge yote au Tandika Mwege yanapita Sayansi acha ubish pindi unataka ueleweshwe! Panda hadi sayansi chukua bajaji.
 
Nadhani umeelewa hakuna gari za mbagala kwenda mwenge ambazo hazipiti sayansi
 
Back
Top Bottom