Jinsi ya kufanya mwanamke wako akuheshimu

Jinsi ya kufanya mwanamke wako akuheshimu

JF especially MMU uliifanyia haki tarehe hii 17/02/15
 
Kuna demu nilikua nampa hela ndg yaani saivi nongekua hata na nyumba ya vyumbs vitatu.Dah wanawake bhana

Mkuu nadhani ssa hivi umejifunza makosa,hao viumbe usipokuwa makini wanaweza wakakupatia umaskini!!
 
Mpende mwanamke lakini kamwe usimdekeze sana!!
 
Haikuhitaji kuwa na mali nyingi ili kujipatia heshima mbele ya mwanamke wala haikuhitaji kutumia mabavu ili kuipata heshima yako mbele ya mwanamke bali unahitaji tu kuuvaa uanamume wako mbele ya mwanamke na kuuvaa uanaume haimaanishi kuwa mbabe mbele ya mwanamke au kutumia lugha kali dhidi yake.. la hasha bali ni kumuheshimu na kumuonyesha dhahiri thamani yake ndani ya uso wa dunia.

Mwonyeshe kwanini alipaswa kuwa na wewe na sio mwanaume mwingine mwonyeshe tofauti yako na kule alikotoka.Onyesha maana ya mwanaume kuwa kiongozi wa mwanamke ambapo ni kumtimizia mahitaji yake yote hapa namaanisha mahitaji yote yakiwamo na mambo yetu yale pamoja na kumshauri mambo yenye mantiki na yanayotekelezeka na sio kuwa dikteta wa kauli na vitendo.

Mwanamke hujisikia raha akipewa hata elfu moja na mwanaume ili hali yeye ana millioni kumi ndani kwani mwanamke huwa anaamini kupewa na mwanaume ni alama ya kuwa unamjali na bado nafasi yake ipo ndani yako.

Mfanye kila siku akuonapo iwe ni sababu ya yeye kutabasamu na kuwa na furaha na sio karaha kwake.Pia onesha msimamo wako katika mambo ya kijinga lengo ni kumuweka kwenye mstari,hapo utajipatia heshima yako bila mabavu.
angalia kwenye red. kwenye kuonyesha maana ya mwanaume kuwa kiongozi, ukipata kichaa mmoja hivi anayeangalia vipindi vya joyce kiria na TGNP atakwambia hapa wote tuko sawa, na atataka akupande kichwani wewe utakuwa kama umeolewa kwake.kuna wanawake wengine wameumbwa ni wabishi sana na wanapenda kuwa juu. ukifanya mchezo atakuwa bwanako na wewe utakuwa mke. sio kwa wanawake wote lakini.

suala la kumpatia alfu moja hata kama yeye ana milioni. ...brother, kama unampa mkeo alfu, naomba endelea hivyohivyo lakini itabidi niangalie nyumba yako iko wapi niishi karibu nawewe, nitakugegedea mkeo na nitampa hela nyingi na hautakuja kujua. hakuna mwanamke anayependa kupewa pesa ndogo, hakuna anayepewa pesa ndogo akaridhika wakati anaona wanawake wenzie wanapewa hela nyingi na waume zao. we mpe hela nyingii ili ajue akukuzingua tu hapati tena chapaa la sivyo usidanganyike. wanawake wanapenda sana kushindana na hawaridhiki kwa kutoa kwa moyo bali wanaridhika kwa kutoa kwa quantity/umetoa kingi anaona unampenda sana, umemnunulia gari zuri badala ya paso anaona unampenda sana, umemnunulia nguzi za garama sana badala ya climblin anaona unampenda sana hata kama yeye ana hela zake we mpe nyingi tu.

nikihitimisha, ukweli halisi ukitaka mwanamke akupende, mpe mahitaji ya kutosha na pili mgegede vizuriii. hata kama ni fundi wa kugegeda kama humpi chapaa atatafuta wa kutoa chapaa atakayekuwa anamgonga vya chapchap akitegemea atakuja kugongwa vizuri kwako wewe unayejua kugonga ila yule ni wa pesa tu siku ukija kustika kama umemuoa miss chagga utastuka ameshajenga na gorofa kwao kishumundu na yuko mbioni kukutoa wewe kafara ili aolewe na mwenye chapaa hata kama hagongi vizuri.

au, mbadala wake, muwe watu wa dini muishike sana dini Yesu awe mioyoni mwenu ili muishi kwa kushinda majaribu ya kutamani pesa na gegedo. hii ndio imeprove kushinda kwa asilimia kubwa pale watu wanapoconcentrate kanisani kwa mfano, ni walokole safiii basi hatafanya hayo mambo akiogopa dhambi na atavumilia kwasababu tu ya dini ila bado ibilisi anamuita kila siku.ukiona huna hela wewe mwanaume kimbilia kanisani wewe na mkeo na hata kule kanisani kuwa karibu na mkeo kwasababu kuna shetani anatafuta hadi kule.
 
Ndugu yangu KikulachoChako
Mwanamke atakuheshimu kama unampa hela,sio maneno kaka bali mpe hela
 
Last edited by a moderator:
Heshima ya mwanamke ni muhimu sana kwa mwanaume!.
 
Back
Top Bottom