Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,870
- 113,587
Hivi wale watu wanakuaga na viuno laini ni wanakua wamezaliwa hivo walaini au ni mazoezi ?Kama ni mazoezi ni yapi hayo waweza kufanya kiuno kiwe laini....
Napenda hiyo shughuli kucheza, kutwerk ila kiuno kinakua hakina ushirikiano msaada.
BAK ka video ka kutwerk please
Cc Miss Natafuta na MBITIYAZA wataalamu wa hizi kazi
Napenda hiyo shughuli kucheza, kutwerk ila kiuno kinakua hakina ushirikiano msaada.
BAK ka video ka kutwerk please
Cc Miss Natafuta na MBITIYAZA wataalamu wa hizi kazi