Jinsi ya kufanya kiuno kigumu kiwe laini

hawakujui hawa.. unlivyo na kiuno laini kama pangaboi na ile style ya kuzungukia pangaboi unavyoiwezea......... kiukweli kwa suala la kiuno kwako wala sijapata shida maana mizungusho yote unaiweza.. kuna ile style unazungusha kama pangaboi mbovu au ile kama shock absorb...
sina hamu jaman na GuDume bas anapenda wanawake kanda ya ziwa
 
Youtube, download video ya wabrazil wakicheza mziki wao sijui unaitwa salsa.
Au fungua youtube andika brazil dancing workouts kwenye search box. Wanachezesha kila sehemu ya mwili kuanzia nywele, kichwa, shingo, mabega, mikono, kifua, tumbo, kiuno, mapaja, ugoko, mpaka toes.
Zitakufundisha naamin
Ahsante mpendwa
 
Watu tumekulia mazingira tofauti... kuna binti mmoja hawa majirani zangu nikawa namlazimisha twende twende anaona aibu siku nikamlazimisha.

Daah kufika kwenye kucheza nilichoka anazungusha mwili mzima basi hadi ifike saa 7 anavuja jasho kama yupo kiwandani.
Haunisemi mimi kweli?!
 
hawakujui hawa.. unlivyo na kiuno laini kama pangaboi na ile style ya kuzungukia pangaboi unavyoiwezea......... kiukweli kwa suala la kiuno kwako wala sijapata shida maana mizungusho yote unaiweza.. kuna ile style unazungusha kama pangaboi mbovu au ile kama shock absorb...
hhahahaha !m.a.m.a y.e
 
Haunisemi mimi kweli?!
Hauwezi kuwa wewe.. sidhani kama wewe ni jirani yangu(chaganese).

kama hauwezi kuhudhuria kwenye shughuli jifungie weka video angalia nenda nao taratibu utajua bila kusahau kuchora herufi A-z ila hapa usichore na mwili mzima sasa chora na chura na kiuno basi.

Btw: mauno ya wanawake unayoyaona nje sio ya chumbani wengi wanaweza ya nje ya ndani hoolaa.
 
Watu tumekulia mazingira tofauti... kuna binti mmoja hawa majirani zangu nikawa namlazimisha twende twende anaona aibu siku nikamlazimisha.

Daah kufika kwenye kucheza nilichoka anazungusha mwili mzima basi hadi ifike saa 7 anavuja jasho kama yupo kiwandani.
nimecheka sana !tena sana !ukitaka uenjoy nenda club aisee
 
Njoo nikupe course nachapa hayo matako wakati na kugegeda baada ya miezi sita utakuwa fit.
 
Napambana mdogo mdogo, nikijifanya nna speed break ya kwanza Moi
Na sikuhizi hakuna kwenda India, samahani kwa kukuuliza hili swali, "imekuwaje umepata mahitaji ya kujifunza hili jambo, ni shemela amekuwa harudi nyumbani muda muafaka au umekamata msg za kusifia kiuno? Au umepata kazi nje ya nchi? Nimetanguliza samahani lakini.
 
Back
Top Bottom