Jinsi ya kufanya computer yako iwe na speed pale utumiapo

UDOM wanahusikaje tena mkuu! Wu ndo ulimbuken wako wa kila siku kuchafua watu na Taasisi zao haujapata tiba?
Mashambulizi yako ungeyahifadhi ingekusaidia kuhifadhi heshima kwa pande zote tatu.
1. Wewe mwenyewe
2. Jf members
3. Udom

Wengi wanaufaham ukweli kuwa chuo kikuu cha UDOM ndicho chuo kinachodahili wanachuo wengi kuliko chuo chochote hapa nchini.

Kwa muktadha huo ni dhahiri kuwa computer illiterate ni kubwa sana UDOM kipindi hiki cha udahili.
It was my plea vijana wasiingizwe mkenge kwa ugeni wao wa computer
 
Kwanza ilo neno PLEA lina maana gani?
*usitumie neno heshima huku ukijua fika huna hekima
*kwaiyo kama udom wanadahili wanafunzi wengi ndo iwe sababu ya kuihusisha na illiterate people moja kwa moja, mbona kabla ya udom kulikua na Udsm ambayo ilikua inasadahili wanafunzi wengi zaidi na hakukua na warning za kitoto kama hizo zako
* kama ulitaka kuwatahadhalisha wanafunzi wapya hakukua nasababu ya kuitaja Udom
*Alafu mtoa post hakumlenga mwanafunzi mpya kalenga utaalamu na msaada ikiwa laptop yako itakua nzito kufunguka basi ufanye mambo kadhaa ili irudi kwenye hali take
ACHA UNAZI, USILEWE KWA JINA LEWA KWA KILICHOPO NDANI YA JINA,
 
Mkuu kwani nawe ni miongoni mwao?
Ujue tunajua kuwa wakati fulani JPM alikihusisha UDOM na u.kilyaza!!!

Ujue tunajua wadahiliwa wengi hununua komputer mpakato baada ya kupata "boom"

Labda kama unapinga, lakini tumekubaliana na ukweli kuwa UDOM inachukua wanachuo wapya wengi kuliko vyuo vingine basi ni dhahiri wanaonunua komputer mpakato kwa mara ya kwanza wengi watapatikana UDOM, kwa hiyo sijakosea kutoa angalizo.
Kuhusu Kuhusu heshima:
Simuheshimu mpiga kura yeyote aliyeipa kura ccm.

Neno "Plea" ni la kiingereza lisikuchanganye kihiivyo!!!

Maneno ya jpm sio sheria hadi yakathibitishe alichokisema! Kwa maono yake kutokana na kushindwa kwake kuwasomesha watanzania ndio chanzo cha kutafuta sababu ya kudhalilisha watoto wa watu mbona wake inasemekana ni kihiyo zaidi ya vihiyo wengine, ukiona mtoto wa mtu mkubwa anashindikanika kupelekwa hata Kenyatta hapo utasemaje nae yupo yupo tu kama aliowatukana sema tofauti yao yeye anaweza kupotosha ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli! Na kuhusu computer mpakato ni suala La interest ya mtu tu wala halina uhusiano na udahili, mbona wapo waliojinunulia kabla ya kuijua harufu ya boom ikoje na wapo wataopata boom lakini hawatonunua pia
Mimi ni mmoja wao ndio nilimaliza mwaka 2012 naishukuru sana Taasisi yangu ya Udom
 
Unachoandika kinareflect ufahamu wako.

Kama ulienda shule kama unavyojinasibu, basi jitenge na ujinga (practically)
Kwa maana unachokiandika kina suggest kwa mithili kuwa zahanati kijijini ina cases nyingi za vifo kuliko hospitali ya rufaa.
Kama kimepigiwa mfano wa ukihiyo ndio basi tena!! ni Precedence hiyo!! na wewe ukisema umesoma pale "sisi tunatazamana nyusoni" halafu kuna katabasamu fulani kanajitokeza hivi kuonyesha kuna common understanding between us.
Hata hivyo jeisika anajadilika.
WISE UP!!!

Ufahamu wangu hauwez pimwa kwa upumbavu wako
 
Mleta uzi nakushukuru kwa somo zuri, pia unisamehe kwa kutoka nje ya mada, nilijua ingeamsha maswali mengi ya kitechnology lakini ikawa kinyume chake.
 
Hivi umekurupuka au umedhamilia kuja kunijibu usichokielewa? Nyie ndio mnaotuharibia nchi hii kihele hele kama jasho la matako, nimesoma udom na mimi ni mmoja wao ambae najivunia kusoma pale, kwa maana imenipa faida na maisha mazuri kwa level yangu! Nilipoandika hivyo nilimjibu mtu aliyeonyesha dhahili kutaka kuidharau UDOM kwa kuitaja kidharau, na si kwamba mimi ndo Nimedharau wataalamu wanaozalishwa UDOM labda umuulize uyo mtu alikua na dhamira gani kuitaja UDOM, next time usinikurupukie kunijibu usichokifatilia
Ni msomi kweli wewe!?!! Basi hujaelimika!
Tofauti yako na unayemjibu i wapi!?
Sifa mojawapo ya Msomi ni Staha na Kujiheshimu!! Kujibu kwa hoja na data!!
Mimi nikiona mtu anajibu kwa maneno yasiyo na staha (matusi) harafu akajinasibu naye ni msomi achilia mbali UDOM hata kama aseme amesoma Havard namwona ni mbumbumbu tu!
Kusoma na Kuelimika ni vitu viwili tofauti Don't forget that!
 
asante, mkuu vipi kufanya partition ya window maana computer yangu ina local disk C peke ake, msaada tafadhali
Zipo sababu nyingi zinazoweza kupelekea computer kuwa slow Chache kati ya nyingi ni.

1. Udogo wa RAM

2. Udogo wa Processor

3. Ku-run program nying kwa pamoja

4. Ku-install program nyingi kwenye PC

5. Temporary files

JINSI YA KUTATUA TATIZO HILO.

1. Bonyeza windows button+R (kwa pamoja) then andika
%temp% then bonyeza ENTER. Yatakuja mafile na mafolder mengi bonyeza
CTRL+A then Bonyeza delete (del)

2. Bonyeza windows button+R (kwa pamoja) then andika temp
then bonyeza ENTER. Yatakuja mafile na mafolder mengi bonyeza CTRL+A then Bonyeza delete (del)

3. Nenda kweny my computer then local disk C then right click then chagua properties, then disk cleanup then iache icalculate kitafunguka ki-page kidogo weka tick upande wa kushoto then bonyeza ok. Itakuuliza are you sure you want to delete? Click yes then iache icalculate mpaka imalize then
funga.

4. Nenda kweny my computer then properties then advanced setting then advanced then setting (ya kwanza) then Advanced then change then utaona tick hapo kwenye automatically.

Toa hiyo tick then shuka chini kwenye custom then kwenye initial weka ukubwa wa ram yako mfano RAM yako ni 2 GB ichukue hiyo zidisha na 1024. (Hii inamaana GB1 ni MB1024) jibu utakalopata jaza hapo.

Then kwenye maximum chukua jibu ulilopatahapo juu lizidishe mara 2 then jaza hapo.(hapa unachokifanya ni kuifanya RAM yako itumike yote) Then bonyeza SET Then bonyeza apply then ok.

Itakuomba kurestat. Accept then bonyeza ok itazima itawaka tena kama hujui jinsi ya kuipata RAM yako nenda kwenye my computer then properties then angalia sehem wameandika

RANDOM ACCESS MEMORY(RAM) utaweza kuiona]
5. Epuka kujaza program nyingi ambazo huzitumii. Unistall
program ambazo hazina kazi.

Kwa Matengenezo yoyote kuhusu Computer yako..wasiliana nasi Kwa namba 0676040772.
 
Back
Top Bottom