Jinsi ya kufanya computer yako iwe na speed pale utumiapo

Oct 17, 2016
46
47
Zipo sababu nyingi zinazoweza kupelekea computer kuwa slow Chache kati ya nyingi ni.

1. Udogo wa RAM

2. Udogo wa Processor

3. Ku-run program nying kwa pamoja

4. Ku-install program nyingi kwenye PC

5. Temporary files

JINSI YA KUTATUA TATIZO HILO.

1. Bonyeza windows button+R (kwa pamoja) then andika
%temp% then bonyeza ENTER. Yatakuja mafile na mafolder mengi bonyeza
CTRL+A then Bonyeza delete (del)

2. Bonyeza windows button+R (kwa pamoja) then andika temp
then bonyeza ENTER. Yatakuja mafile na mafolder mengi bonyeza CTRL+A then Bonyeza delete (del)

3. Nenda kweny my computer then local disk C then right click then chagua properties, then disk cleanup then iache icalculate kitafunguka ki-page kidogo weka tick upande wa kushoto then bonyeza ok. Itakuuliza are you sure you want to delete? Click yes then iache icalculate mpaka imalize then
funga.

4. Nenda kweny my computer then properties then advanced setting then advanced then setting (ya kwanza) then Advanced then change then utaona tick hapo kwenye automatically.

Toa hiyo tick then shuka chini kwenye custom then kwenye initial weka ukubwa wa ram yako mfano RAM yako ni 2 GB ichukue hiyo zidisha na 1024. (Hii inamaana GB1 ni MB1024) jibu utakalopata jaza hapo.

Then kwenye maximum chukua jibu ulilopatahapo juu lizidishe mara 2 then jaza hapo.(hapa unachokifanya ni kuifanya RAM yako itumike yote) Then bonyeza SET Then bonyeza apply then ok.

Itakuomba kurestat. Accept then bonyeza ok itazima itawaka tena kama hujui jinsi ya kuipata RAM yako nenda kwenye my computer then properties then angalia sehem wameandika

RANDOM ACCESS MEMORY(RAM) utaweza kuiona]
5. Epuka kujaza program nyingi ambazo huzitumii. Unistall
program ambazo hazina kazi.

Kwa Matengenezo yoyote kuhusu Computer yako..wasiliana nasi Kwa namba 0676040772.
 
Usiwaingize mkenge wana UDOM.
Wasije kuta file zao hazionekani teh teh teh.
 
Asante mkuu, je ni kitu gani kinasababisha partion ya Os kujaa wakati window ina 4Gb tu? sasa hivi inadai space, niliitengea 20GB, kila siku zinaongezeka, suluhisho tafadhali
 
Asante mkuu maana pc yangu ilikuwa nzito mpaka nilianza kuichukia
 
Hizo procedures ni windows gani, ie windows 10, 8.1... au zote?
 
Ahsante sana mtaalamu nashukuru kwa hili pia
 
Asante mkuu, je ni kitu gani kinasababisha partion ya Os kujaa wakati window ina 4Gb tu? sasa hivi inadai space, niliitengea 20GB, kila siku zinaongezeka, suluhisho tafadhali
Itakua umesave vitu Vingi kwenye folders kati ya hizi downloads, documents,videos,pictures,musics and desktop, kwa sababu by default zinatumia space ya disk ya OS, pia template file huwa ni tatizo
 
Zipo sababu nyingi zinazoweza kupelekea computer kuwa slow Chache kati ya nyingi ni.

1. Udogo wa RAM

2. Udogo wa Processor

3. Ku-run program nying kwa pamoja

4. Ku-install program nyingi kwenye PC

5. Temporary files

JINSI YA KUTATUA TATIZO HILO.

1. Bonyeza windows button+R (kwa pamoja) then andika
%temp% then bonyeza ENTER. Yatakuja mafile na mafolder mengi bonyeza
CTRL+A then Bonyeza delete (del)

2. Bonyeza windows button+R (kwa pamoja) then andika temp
then bonyeza ENTER. Yatakuja mafile na mafolder mengi bonyeza CTRL+A then Bonyeza delete (del)

3. Nenda kweny my computer then local disk C then right click then chagua properties, then disk cleanup then iache icalculate kitafunguka ki-page kidogo weka tick upande wa kushoto then bonyeza ok. Itakuuliza are you sure you want to delete? Click yes then iache icalculate mpaka imalize then
funga.

4. Nenda kweny my computer then properties then advanced setting then advanced then setting (ya kwanza) then Advanced then change then utaona tick hapo kwenye automatically.

Toa hiyo tick then shuka chini kwenye custom then kwenye initial weka ukubwa wa ram yako mfano RAM yako ni 2 GB ichukue hiyo zidisha na 1024. (Hii inamaana GB1 ni MB1024) jibu utakalopata jaza hapo.

Then kwenye maximum chukua jibu ulilopatahapo juu lizidishe mara 2 then jaza hapo.(hapa unachokifanya ni kuifanya RAM yako itumike yote) Then bonyeza SET Then bonyeza apply then ok.

Itakuomba kurestat. Accept then bonyeza ok itazima itawaka tena kama hujui jinsi ya kuipata RAM yako nenda kwenye my computer then properties then angalia sehem wameandika

RANDOM ACCESS MEMORY(RAM) utaweza kuiona]
5. Epuka kujaza program nyingi ambazo huzitumii. Unistall
program ambazo hazina kazi.

Kwa Matengenezo yoyote kuhusu Computer yako..wasiliana nasi Kwa namba 0676040772.
Thanks mkuu
 
UDOM PRODUCT>>>Welcome to Mayocoo | Sign in, Sign up .., UACHE ZARAU COLLEGE OF INFORMATICS AND VIRTUAL EDUCATION (CIVE) NI TISHIO NA KUNA PRODUCT NYINGI TU ZIPO MTAANI..
Hivi umekurupuka au umedhamilia kuja kunijibu usichokielewa? Nyie ndio mnaotuharibia nchi hii kihele hele kama jasho la matako, nimesoma udom na mimi ni mmoja wao ambae najivunia kusoma pale, kwa maana imenipa faida na maisha mazuri kwa level yangu! Nilipoandika hivyo nilimjibu mtu aliyeonyesha dhahili kutaka kuidharau UDOM kwa kuitaja kidharau, na si kwamba mimi ndo Nimedharau wataalamu wanaozalishwa UDOM labda umuulize uyo mtu alikua na dhamira gani kuitaja UDOM, next time usinikurupukie kunijibu usichokifatilia
 
Back
Top Bottom