youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,638
- 3,641
Jinsi ya Kufanya Biashara Yako Ijiendeshe Yenyewe (Thread)
Biashara nyingi zinashindwa kwa sababu mmiliki anafanya kila kitu mwenyewe.
Huwezi kuwa CEO, marketer, mhasibu, na mfanyakazi kwa wakati mmoja.
Unahitaji mfumo unaojiendesha hata ukiwa haupo.
Siri ya biashara inayojiendesha ni SYSTEMS & PEOPLE.
Biashara yako lazima iwe na utaratibu unaoruhusu wengine kuendesha mambo bila wewe.
Wekeza kwenye mfumo, si kazi zako binafsi.
1. Tumia mfumo wa Automation.
Tumia tools za automation kwenye marketing, sales, customer service & finance.
Mfano:
✅ Chatbots kujibu wateja
✅ Payment gateways kupokea malipo au mteja kulipa automatic
2. Ajiri au outsource timu bora.Badala ya kufanya kila kitu mwenyewe, tafuta watu wenye ujuzi wa kusaidia.
Tafuta kwa watu sahihi, sio wale wa nipo tayari kufanya kazi yoyoteWatu bora wanakusaidia biashara isihitaji uwepo wako muda wote.
3. Tengeneza SOPs (Standard Operating Procedures).Andika mwongozo wa jinsi kazi zinavyopaswa kufanyika.Kila mfanyakazi akija, anajua cha kufanya bila kuuliza kila mara.Hii inazuia biashara yako kuanguka ikitokea wewe haupo.
Tengeneza mfumo wa wateja kurudi wenyewe.
Biashara inayojiendesha ina mfumo wa kupata repeat customers.
Hakikisha bidhaa/huduma zako zinawafanya wateja warudi tena na tena.
Mfano:
✅ Loyalty programs
✅ Subscriptions
✅ Referrals
Fanya kazi ON the business, sio IN the business.
Wamiliki wa biashara wanapaswa kusimamia biashara, sio kuwa wafanyakazi wake.
Jifunze ku delegate kazi, uangalie picha kubwa zaidi.
Marketing is key.
Hakikisha una mfumo wa kuingiza wateja wapya kila siku.
Tumia social media, paid ads, influencers, na content marketing ili kuvutia wateja bila juhudi zako za moja kwa moja.
Mwishoni, kama hujui jinsi ya kuanza, tafuta msaada.
Wekeza kwa kushauriana na watu waliokwisha fanikiwa.
CHAGUA VIZURI.
Unataka mfumo wa kuleta wateja automatic kununua? Bonyeza hapa tukufanyie kazi: Share on WhatsApp