Jinsi ya kuepuka mizinga ya wadada

Ubarikiwe mnooo teh ujazwe wewe na wallet yako
 
Wacha tukafie mbelee tuu nasema tumechokaaaaaa bora ninue malaya tu kuliko kuwa na mdada hana tofauti na malaya.
Kwendraaa kwani mnalazimishwa nasi tumechokaaaaaa kuona kind ya vimwanaume vinavojiliza kama vimefiwa
 
Wanaume wa sasa unaenda kutongoza na jeep ya kuazima,mashauzi kibao ukipigwa mizinga unakuja huku mbio kulalamika,
ila wadada wengine nao ni shidaa unapiga mzinga hadi wa hela ya pedi......
 
Unamsikiliza, alafu humpi. Period
 
Mademu wa kibongo hawapendi kutafuta ndio maana hawana thamani wao kazi kuomba omba tu!!mi mwanamke aniombe hela ya mtaji sio vizinga vya kijinga kama nimempenda na kumuelewa na ninamuona kweli ana akili nampa lakini vizinga vinakera huwa namtoa thamani sana mwanamke anayeombaomba hela,hawataki kufanya kazi wanaamini kupanua miguu ndio solution ya maisha!!!mademu wa kibongo njaa tupu hafikirii kutafuta pamoja yeye anataka atafutiwe ukiuliza anajiona mzuri kweli wapumbavu, wazuri wako wengi na uzuri unaisha wanabaki kuchezewa na kutupwa kama vizibo vya soda!!
 
Baadhi wanapita hukohuko kwenye pesa ya mtaji baadae anasema biashara imeenda vibaya, kuwa makini zaidi.
 
Baadhi wanapita hukohuko kwenye pesa ya mtaji baadae anasema biashara imeenda vibaya, kuwa makini zaidi.
Nimesema kama nimempenda na nimemuona ana akili, biashara ikienda vibaya atajua mwenyewe, unaanza kwa kumpa hela mbuzi unamcheki anavyoenda kama anaenda vzr unamuongezea kama haeleweki sio umsaidii unampiga chini kabisa
 
Tumewachoka na huko kulialia kwenu kisa kupigwa vizinga. Kwanza wanaowapiga vizinga huku hawapo huo ujumbe hauwafikii walengwa. Nawashauli mkipigwa vizinga waambieni palepale msituchoshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…