mjuba101 Senior Member Oct 24, 2013 159 65 Jan 5, 2014 Thread starter #21 Katika hali ya kushangaza kabisa, kuna watu kibao wamenitumia message, eti wanataka maelekezo ya jinsi ya kuchakachua mtungi... Mbongo ni zaidi ya umjuavyo duh!
Katika hali ya kushangaza kabisa, kuna watu kibao wamenitumia message, eti wanataka maelekezo ya jinsi ya kuchakachua mtungi... Mbongo ni zaidi ya umjuavyo duh!
G gody5m Senior Member Jun 14, 2011 111 65 Jan 6, 2014 #22 Ha ha ha ha ha ha nilijua lazima upigiwe tu njaa zitaja tuua wabongo
danali JF-Expert Member Jan 30, 2012 1,135 1,674 Jan 6, 2014 #27 Mimi mwenyewe nilikua nasubirh f.bck za wadau namie nikutwangie
mtamanyali JF-Expert Member Dec 6, 2011 1,161 613 Jan 6, 2014 #29 jamani mtafuteni huyo jamaa mimi nimeongea nae na tumeshachakachua mtungi wangu sasa ninapika mwanzo mwisho.
jamani mtafuteni huyo jamaa mimi nimeongea nae na tumeshachakachua mtungi wangu sasa ninapika mwanzo mwisho.
Zogwale JF-Expert Member Jul 10, 2008 15,287 10,843 Jan 12, 2014 #33 Uchumi mgumu unawapa watu brain.
Vocco Member Dec 21, 2013 36 2 Jan 12, 2014 #34 TAnzania Tanzania Nakupenda kwa moyo wotee Nchi yangu Tanzania.... ....
M makita g Member Jan 3, 2014 39 12 Jan 12, 2014 #35 Jamaa noma mpaka kwenye gesi tena huyo anaweza kuchakachua watu tusile chakula tutumie hewa atusaidie hili tuwe matajiri
Jamaa noma mpaka kwenye gesi tena huyo anaweza kuchakachua watu tusile chakula tutumie hewa atusaidie hili tuwe matajiri
Magnificient JF-Expert Member Aug 8, 2013 1,162 701 Jan 12, 2014 #36 uchifike ntwara kwetu, uchije chakachua na gechi yetu buree...
Senior Lecturer Senior Member Jan 19, 2013 177 74 Jan 16, 2014 #39 Mimi nimeipiga hiyo namba nikaskia maneno haya: "samahani, mteja unaempigia na yeye anakupigia!"