Jinsi ya kuchakachua mtungi wa Gesi

Katika hali ya kushangaza kabisa, kuna watu kibao wamenitumia message, eti wanataka maelekezo ya jinsi ya kuchakachua mtungi...

Mbongo ni zaidi ya umjuavyo duh!
 
Mimi mwenyewe nilikua nasubirh f.bck za wadau namie nikutwangie
 
jamani mtafuteni huyo jamaa mimi nimeongea nae na tumeshachakachua mtungi wangu sasa ninapika mwanzo mwisho.
 
Jamaa noma mpaka kwenye gesi tena huyo anaweza kuchakachua watu tusile chakula tutumie hewa atusaidie hili tuwe matajiri
 
Back
Top Bottom