Mkuu, mbona akili yako imekaa kiuchakachuaji sana? au ndio ugumu wa maisha unakupelekea wewe kuwa hivyo?
Hahaha Uncle unamiliki mjengo wenye ghorofa nyingì nini? Huyu anatufundisha sie tunaopenda kuchakachua huku hatukusoma kwahiyo anatusaidiaMkuu, mbona akili yako imekaa kiuchakachuaji sana? au ndio ugumu wa maisha unakupelekea wewe kuwa hivyo?
MH!!
ok Juzi nilikuwa na mkutano jengo moja hapa mjini ni refu lina kera floor nyingi....hivi nikawa nimechelewa sababu ya mafoleni ghafla nikakumbuka Trick moja hivi ya kufanya ili nikipanda lift iende bila kusimama simama kwenye floor nyingine hadi floor ninayotaka mimi....
here is how wajameni si uchawi!!!
(PLEASE FANYA HII UKIWA UNASHIDA KWELI MAANA NI KERO KWA WENZIO PIA)
1) Ingia kwenye lift
2) Tumia vidole vya mikono yote miwili
3) Bonya botton ya floor unayotaka kwenda na ile ya kufunga mlango kwa pamoja(kwa kama 5 sec hivi)
4) Enjoy your oneway to the floor unayotaka kwenda haitasimama floor yoyote ambayo watu wamebonyeza
Rahaaaaaaaa!! ehee!! tafadhari fanya hii kitu kama unaenda floor ya mbali na umechelewa maana watu wengine hawata pata huduma hadi wewe ufikishwe kwanza!!
NOTE:
This doesn't work on all elevators, but it works on all Otis models, and a few miscellaneous others. so jaribu ni rahisi
na LIFT za bongo nyingi ni za kizamani si unajua mambo ya used!!!
cheers!!!
Mkuu mambo mengine, likiwamo hili, siyo ya kuchakachua.
labda hiyo lift 1st floor umo peke yako!... but am sure kama mkiwa wnne kila mtu akibofya floor anayokwenda itasimama tu
Kuna mambo sio ya kufanyia mchezo ipo siku utakaa humu hata masaa kwa kufanya mambo ya ajabu,its very dangerous it worked for you that was ur lucky,chakachua vitu vyako sio public items,its very risky y try it?au likistuk likafanya v2 vya ajabu utamlaumu nani?na sidhani kama majengo ye2 kuna rum specific ya kumonitor utendaji wake,
Je hii ni kwa lift zozote au ni brand fulani tu ya lift. Ningejaribu tatizo sina jengo lenye lift karibu lakini simple concept inanimba hii inaweza kufanya kazi kwenye specific model na brand ya lift eg OTIS na sio kila aina ya lift.
But lets wait for the feedback.
Nice trick though