Jinsi ya kuchagua jinsia ya mtoto

Kuna haja gani ya kutukana?. Mimi nimeongea ninachokijua. Vizuri na wewe umwambie muuliza swali unachokijua. Sio mambo yote yanahitaji shule,shule,shule. Mbona wasomi wetu wa siku hizi hatuyaoni mabadiriko yoyote mliyotuletea?. Zaidi tu tunaona maprofesa wakiokotwa majalalani. Hapo na wewe utajiita umeelimika kwa kutukana wengine?. Nikikuambia nina watoto watatu kwa mfumo huo?. Unaweza ukasema nimebahatisha. Lakini ndivyo tulivyopanga na nimefanikiwa
 
Umepanick sana mkuu,kunywa maji kwanza,nijibu pole pole,usije ukajikaba maneno
 
Umejibu kienyeji zaidi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Oh... Nlisikia kwamba siku za hatari ni zile saba hadi tisa baada ya kutoka period!!!?
Yahp kama utahesabu siku toka alivyokoma kuingia period itakuwa hivi
Mf. Period yake imetumia siku 5 ukihesabu siku saba mbele, itakuwa siku ya 12, aiseh ukigusa tu hapo vitu lazima visome huko uzazini kwake
, usihesabu tangu kamaliza P hesabu tangy kaingia, siku za hatari huwa ni siku ya 12 mpaka ya 16 tangu kaingia, so kiuhakika zaid, unaongeza siku pungza siku moja nyuma unaongeza moja mbele yaan kama huna plan na condom na huna plan na mimba piah (uwe unamuamini
) basi siku ya 11-17 tangu kaanza P humgusi kabisa hata kufanya nae romance
shetan ana nguvu zaidi


NOTE
Ukipata pisi kali kama ni mtaalamu usifanye mambo kwanza muulize tu siku aloingia P afu piga hesabu zako, njia hii ni uhakika kwa asilimia 85, only kwa wanawake ambao siku zao hazivurugiki
 
sikupingi ila nawe piah hujaelewa somewhere, hizo xy ni chromosomes wakati wa uchavushaji, mwanaume hutoa chromosome moja na mwanamke the same na ndo anatengenezwa mtoto mwenye utimamu na jinsia pia, chromosomes zikiungana zaidi ya mbili kwa kijusi mmoja maybe ni tatu au nne, basi mtoto huwa ni abnormal
ni mawazo yangu tu,
Hapo kwenye kusema ety mwanamke awahi kupizi ndo apatikane wa kike, ingekuwa hivyo amini hii dunia wote tungekuwa wanaume tu, wanawake hawakojoi kirahisi na waeza zeeka kwenye ndoa hujawahi mkojolesha mwanamke,
 
Mkuu sijui kama unajua kuwa xy ziko slow kuliko xx kwa hiyo ni rahisi kupata mtoto wa kike kwa kuwa tunaangalia mshindi wa kwanza wa mbio .hizo crossing ni more theoretical ndoma KE ni wengi kwenye world population
Hata survival chance XY wanayo kubwa (kwa kuwa ziko slower) kuliko XX
Ukijua hayo kupata jinsia unayotaka ni rahisi kidogo na wote wanakufundisha kutafta jinsia unayotaka wanajua hayo
Kwa mfano ukisex siku ya ovulation basi kuna chance kubwa ya kupata wakike kwakuwa mbegu zake zina speed na pia ukiwahi sana kabla kusex kabla ya ovulation unawezapata wakiume kwa kuwa mbegu zina uwezo wakusurvive hadi siku ya ushindi japo ziko slower
Nirekebishwe nilipokosea
 
Hii njia mnadai wanatumia waislam (sina uhakika na hili) sidhani kama inaukweli wowote
Mwanamke hukojoa au kufika kileleni kama majibu tu y kufanya tendo kiufasaha hakuna madhara yoyote kuhusiana na utungishwaji wa mtoto

Mwanaume hakojoi tu, yeye hutoa mbegu za kutungisha, kama utasex na mkeo miaka yote afu hukojoi amini hawezi pata mimba yako labda ulee wa wengine kwa jina lako, lakini kwa mwanamke ni tofauti sana yeye kukojoa hakuhusiani na kutoa yai, aweza ishi kwenye ndoa miaka yote na akapata mpaka wajukuu na hajawahi sikia raha ya kuhondomolwa mpaka akafika kileleleni
 
Umekosea kabisa
 
Mkuu umeanza kwa maneno makali sana
 

Mwanaume ana X na Y
X- wa kike, na ina mbio sana, inawahi kufa (ndani ya masaa machache)
Y- wa kiume, kasi sio sana, inachelewa kufa (life_72hrs)

Ukifanya tendo siku za mwanzo sana 10, 11,12 una possiblity ya kupata mtoto wa kiume, kwani mbegu zikiingia X itakimbia haraka kama kawaida yake, na itakuta yai bado halijatoka na itasubir kidogo na kufa lakini Y anakuja mdogo mdogo na anaweza kusubiri yai litoke hadi siku 3
 
Kwa taarifa yako...

Ulichokielezea ni kilekile alichosema jamaa ila tofauti ni kuwa wewe umekariri zaidi makaratasi na mwenzako ameelewa zaidi mambo

Kivipi?...

Ni kwamba wote mmekutana kwenye hoja ya kwamba mtoto wa kike atapatikana mimba ikitungwa siku za mwanzo mwanzo takribani 3 baada ya zile siku 10 tangu period

Kinyume chake mmekubaliana kuwa zikivuka zikaenda karibu na mwisho mwisho basi mimba itakayotungwa ni ya mtoto wa kiume
 
Inategemea kabla ya show mlikunywa kinywaji gani.....

Kama wote mlikunywa bia-hapo ni KE
kama mmoja hakunywa bia kabisa ni ME

Kama wote hamkunywa kabisa bia basi hapo ni BOTH TEAM TO SCORE


nb:sitaki maswali
 

Hauko sahihi ,unapotosha umma
 
Ahsante mkuu reproduction naona ilinipitia kushoto
 
Correct,..exellent
 

XY ziko slow kuliko Xx???Labda nikuulize hizi XX na XY zinapatikana wapi?Tuanze hapo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makofi kwako tafadhali.
Huyo boya huko juu ameingiza watu chaka mbaya.
Mimi nilicheza game siku ya 12 nimetoa bonge la binti chotara fulani hivi amaizing.
Sema ana miaka 3 sasa nimeagiza dog aina ya Germany sheffed maana utopolo sio watu.
 
Mkuu wa kiume unalenga pembeni kama unaparaza fulani hivi halafu inakuwa show ya kibabe jasho mpk kwenye unyayo.. wakike unapiga katikati lkn lazima usimamie ukucha mixer wote muwe mnakatika Kama mnacheza bolingo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…