Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,510
- 4,224
Wakuu habari zenu.Nimekuwa nikijiuliza na kupiga mahesabu ya kubana matumizi hususan katika suala la chakula kutokana na hali ya uchumi ya sasa ilivyo.Ningependa kufahamu kutoka kwa wale wenzangu na mimi ambao wapo single.Hivi kati ya kununua vyakula migahawani (wastani sahani 2000/=) au kujipikia mwenyewe kipi ni bora?