Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,536
- 2,187
Dumbukiza friza la nguvu plus sukari guru, Dawa tosha
Mkuu nimecheka Sana, tangu 2014 lakini hukupata mchangiaji wa maana, Sasa fanya hivi, kama uko Tanzania fanya safari uende itigi, pale Kuna hospital inaitwa St gaspar, wale wamechimba kisima na kina maji ya chumvi, lakini wamefunga kamtambo fulani pale kana process hayo maji na kuwa maji safi na salama na chumvi kwenye maji hakuna tena, pale itigi ni maarufu kama maji bwerere, yale maji pale wanayauza kwa wananchi, nilijaribu kumdadisi mhudumu pale hakunipa majibu ya kuridhisha, kama utaweza pitia pale uangalie na pia ujaribu kuuliza, ukifanikiwa ni hakika utakuwa tajiri ndani ya mwaka mmoja,Wateja wangu wanataka maji matamu ( baridi) kisima changu kina maji chumvi, nifanyaje wana jf?
Nimeshauriwa niweke dawa ila hizo dawa sizijui.
Yaweza kuwa Reverse Osmosis hiyo mkuu.Mkuu nimecheka Sana, tangu 2014 lakini hukupata mchangiaji wa maana, Sasa fanya hivi, kama uko Tanzania fanya safari uende itigi, pale Kuna hospital inaitwa St gaspar, wale wamechimba kisima na kina maji ya chumvi, lakini wamefunga kamtambo fulani pale kana process hayo maji na kuwa maji safi na salama na chumvi kwenye maji hakuna tena, pale itigi ni maarufu kama maji bwerere, yale maji pale wanayauza kwa wananchi, nilijaribu kumdadisi mhudumu pale hakunipa majibu ya kuridhisha, kama utaweza pitia pale uangalie na pia ujaribu kuuliza, ukifanikiwa ni hakika utakuwa tajiri ndani ya mwaka mmoja,
NB: INAONEKANA PALE PESA NYINGI KIDOGO INAHITAJIKA NILIVYOONA MIMI.
Inawezeka kabisa, lakini siyo kwamba ni kitanda kikubwa, niliona tank mbili za ujazo wa cc 5000, filter kama nne, katika hizo nne, moja ina vitu kama crystals za rangi ya almasi, chumba palipofungwa hivyo vitu ni dimension approx kama ft 16x16 hivi.Yaweza kuwa Reverse Osmosis hiyo mkuu.
Ndio.mita 100 kwenda chini, si uwanja wa mpira wa miguu huo goli hadi goli
Nimechimba kisima chenye urefu WA mita mia katika mkoa WAdodoma KWA mashine maarum za kuchimbia visima,lakin shida iliyopo haya maji hayanyweki,hayafai ata kufuriaa wala kuogea,sababu yanazaidi ya chumvi yan ni makali kupita kiasi.sasa nini nifanye iliyaweze kua maji ambayo ni mazuri KWA matumizi yote ya binadamu yani [maji baridi]
njoo pm nitakupa namba ya mtu ila yupo hapa dar atakupa maelezo na atakushauri ununue mashine inayotoa chumvi kwenye maji,
kule zanzibar kuna hotels zinatumia maji ya baharini, wana mitambo inaitwa desalinator lakini naona kama ni ghali sana manake ile mitambo kisha na dawa vile vile, manake mitambo yenyewe naiona imekaa kama mageneretor yale makubwa,Ndio.
yaah, ni expensive ila unauwezo wa kuuza kama pure drinking water na watu wakayafurahia sana.Its somehow expensive lakini.
Mkuu mita mia moja kwenda chini? Una uhakika na vipimo vyako? Ni shimo refu kishenzi! Ila mimi sina utaalam wa haya mambo hivyo usidhani nakupinga!Nimechimba kisima chenye urefu WA mita mia katika mkoa WAdodoma KWA mashine maarum za kuchimbia visima,lakin shida iliyopo haya maji hayanyweki,hayafai ata kufuriaa wala kuogea,sababu yanazaidi ya chumvi yan ni makali kupita kiasi.sasa nini nifanye iliyaweze kua maji ambayo ni mazuri KWA matumizi yote ya binadamu yani [maji baridi]
Kwa visima virefu ni kawaida Mimi nimechimba mbezi msakuzi Dar mita 130Mkuu mita mia moja kwenda chini? Una uhakika na vipimo vyako? Ni shimo refu kishenzi! Ila mimi sina utaalam wa haya mambo hivyo usidhani nakupinga!