Jinsi ya kubadilisha kisima chenye Maji chumvi kuwa maji baridi

Wateja wangu wanataka maji matamu ( baridi) kisima changu kina maji chumvi, nifanyaje wana jf?

Nimeshauriwa niweke dawa ila hizo dawa sizijui.
Mkuu nimecheka Sana, tangu 2014 lakini hukupata mchangiaji wa maana, Sasa fanya hivi, kama uko Tanzania fanya safari uende itigi, pale Kuna hospital inaitwa St gaspar, wale wamechimba kisima na kina maji ya chumvi, lakini wamefunga kamtambo fulani pale kana process hayo maji na kuwa maji safi na salama na chumvi kwenye maji hakuna tena, pale itigi ni maarufu kama maji bwerere, yale maji pale wanayauza kwa wananchi, nilijaribu kumdadisi mhudumu pale hakunipa majibu ya kuridhisha, kama utaweza pitia pale uangalie na pia ujaribu kuuliza, ukifanikiwa ni hakika utakuwa tajiri ndani ya mwaka mmoja,

NB: INAONEKANA PALE PESA NYINGI KIDOGO INAHITAJIKA NILIVYOONA MIMI.
 
Yaweza kuwa Reverse Osmosis hiyo mkuu.
 
Yaweza kuwa Reverse Osmosis hiyo mkuu.
Inawezeka kabisa, lakini siyo kwamba ni kitanda kikubwa, niliona tank mbili za ujazo wa cc 5000, filter kama nne, katika hizo nne, moja ina vitu kama crystals za rangi ya almasi, chumba palipofungwa hivyo vitu ni dimension approx kama ft 16x16 hivi.
 
hakuna dawa ya kuweka kwenye kisima ili kitoe maji matamu. Inategemea hayo maji yana chumvi kiasi gani itabidi ufunge mtambo ambao utaweza kuiondoa hiyo chumvi au kwa RO ( Reverse Osmosis ) kama chumvi ni nyingi - hii inatumia umeme mwingi pia au ion exchange bed kama chumvi si nyingi. Pia ni lazima ujue unahitaji gallon au lita ngapi kwa siku. Tafuta watu wanaohusika na mitambo hii ya kusafisha maji katika sehemu yako
 
kuna jamaa ana phd ya nano technology anafundisha nelson mandela university arusha anaitwa dr Askwar hilonga.. unaweza mgoogle for more details.. ana low cost filter zake zinapunguza chumvi kwenye maji....

jamaa yupo vizuri... na kuna wadau wengine wanaita twesco wako mwenge near tra wanaondoa tatizo nao
 
4758cab3644c5251b3fb585caab22f13.jpg
 
Nimechimba kisima chenye urefu WA mita mia katika mkoa WAdodoma KWA mashine maarum za kuchimbia visima,lakin shida iliyopo haya maji hayanyweki,hayafai ata kufuriaa wala kuogea,sababu yanazaidi ya chumvi yan ni makali kupita kiasi.sasa nini nifanye iliyaweze kua maji ambayo ni mazuri KWA matumizi yote ya binadamu yani [maji baridi]
 
njoo pm nitakupa namba ya mtu ila yupo hapa dar atakupa maelezo na atakushauri ununue mashine inayotoa chumvi kwenye maji,
 
kule zanzibar kuna hotels zinatumia maji ya baharini, wana mitambo inaitwa desalinator lakini naona kama ni ghali sana manake ile mitambo kisha na dawa vile vile, manake mitambo yenyewe naiona imekaa kama mageneretor yale makubwa,
 
Nimechimba kisima chenye urefu WA mita mia katika mkoa WAdodoma KWA mashine maarum za kuchimbia visima,lakin shida iliyopo haya maji hayanyweki,hayafai ata kufuriaa wala kuogea,sababu yanazaidi ya chumvi yan ni makali kupita kiasi.sasa nini nifanye iliyaweze kua maji ambayo ni mazuri KWA matumizi yote ya binadamu yani [maji baridi]
Mkuu mita mia moja kwenda chini? Una uhakika na vipimo vyako? Ni shimo refu kishenzi! Ila mimi sina utaalam wa haya mambo hivyo usidhani nakupinga!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom