Jinsi ya kuanzisha kitabu

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,460
HABARI WANAJAMII

Napenda kuuomba ushauri wa kina kwenu namna ya kuwapata wafadhili wakuniwezesha ktk uzinduzi wa kitabu changu kwani nataka kukizindua mwezi May na sina jinisi ya kufanya ila kimeshafanyiwa editing na mambo yote yahusuyo uchapishaji tatizo ni moja tu lakuwapata wafadhili wa kuniwezesha kuandaa function hiyo
Ningependa kupata ushauri kwenu nifanye nini ili niweze kufanikkiwa jambo ili na vile vile nilitaka maoni kwenu kuhusu jambo la mgeni rasmi wa sikui hiyo lakini awe ni mwanasiasa au kiongozi wa dini itakuwa ni vyema naomba mnitafutie mgeni rasmi na nifanye nini katika event hii muhimu kwangu.

Nitashukuru nikipata ushauri, maoni na mchango kwenu namna ya kuandaa function hii na tukio hili muhimu
Karibuni kwa mawazo

Aksante
 
Inategemea kitabu chako umeandika kuhusu nini, kuhusu mfadhili na mgeni rasmi, nadhani wewe ni kijana, basi fanya taratibu uonane na wanasiasa vijana mahiri kina Zitto, Mnyika, January Makamba n.k nina imani hawa watakushauri na kukusaidia cha kufanya kutimiza ndoto yako. All the best.
 
Back
Top Bottom