MaMals
Member
- Oct 31, 2013
- 46
- 8
Habari zenu waungwana! hivi karibuni nimepata wazo la kuanzisha jarida format kama yale ya BANG!, ONSPOT, VIBE, KITANGOMA . Ila idea yangu ni unique kidogo na nimefanya research nimeona kuna tija endapo nikijipanga vizuri, litahusisha michoro na narrations .Nahitaji ushauri wenu, Je nahitaji rasilimali gani? (Watu, vitu, ujuzi) ili niweze kufanikisha wazo langu. Wasalaam!!!