Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

StarTime n pesa babu kuibia channel n ndoto wanatumia automatic software ku fungua channel ww unahizo mitambo zao?
 
Jaman naiwekwel cz ni two month cijachek STv1 nikipata uhakika nitafurah sanaaaa😀
 
je kama nilizolipia hazionekani je nita undo vipi kuona nilizolipia?
 
Wewe mpuuzi hufai kotekote kanisani wala msikitini na hata kwenye deals zangu hufai maana ulichopost hapa inaonekana kuwa hujui kula na kipofu bora nikuache na pengine ni rafiki yangu ngoja nikuchunguze kabla nisije kupa dili ukaniunguzia kwa mamwela.
Kijana unonekan Roho mbaya san hupendelei wenzako wapte.
 
Tupe maarifa ya kuona dstv maana hawa wenzeetu hata tbc kama hujalipa huoni ispokua cctv inayoongea kichina tu. hata kama kuna jinsi ya kuona itv/dtv kutumia king'amuzi cha dstv nijuze
 
Hawa jamaa wamenipiga pin sipati chanel hata za free isipokua CLOUDS&TUMAINI tu.
 
Back
Top Bottom