Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

Hata mimi nilikuwa nazipata bure ila naona toka wiki mbili zilizopita mambo yamebadilika sizioni tena man!hata niki search tena hazipatikani!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
asubuhi nakurupuka kucheki jamaa wa Misri wanavyochapana kwenye CNN nakutana na 'no service' nikaeka 530,holaa! 0 channel!, saa 9 na nusu hivi nikajaribu tena- mannual search 530Mhz,yap! channel 13 hewani! kucheki aljazeera oh, my gosh jamaa wanatandikwa risasi msikitini!
Wachina hawajaziba tundu bwana!
Tisa na nusu ya usiku au ya mchana mkuu?
 
Jamani kama yupo anayejua hizo namba za kuchakachua kwa TANGA anipatie tafadhali.. Maana huku tunapata channel 2 tu..tbc1 na ch10 tu..
 
Wewe mpuuzi hufai kotekote kanisani wala msikitini na hata kwenye deals zangu hufai maana ulichopost hapa inaonekana kuwa hujui kula na kipofu bora nikuache na pengine ni rafiki yangu ngoja nikuchunguze kabla nisije kupa dili ukaniunguzia kwa mamwela.
 
mdau tuwe wapole sina nia mbaya nipe dili nimelipa hadi nimechoka sasa
 
Wewe mpuuzi hufai kotekote kanisani wala msikitini na hata kwenye deals zangu hufai maana ulichopost hapa inaonekana kuwa hujui kula na kipofu bora nikuache na pengine ni rafiki yangu ngoja nikuchunguze kabla nisije kupa dili ukaniunguzia kwa mamwela.

Kaka kama ni mimi naomba unisamehe, wamekata ndo maana nimetoa siri kwakuwa ni useless code kwa sasa
 
hii kitu bado ipo au? jana usiku kama saa 3 na robo hivi iliniletea no signal kwenye hizi chanel zetu zote nikasusa nikazima tv nikawasha computer. kuna mtu mwenye update kwa hili?
 
Bure ghali halafu tunalia hakuna ajira watalipwa nini au watajiendeshaje?
 
bye bye star times!....kibox chenu ngoja nimpe mwanangu Masalu achezee!
 
umerudia nlicho wai kukiandika katika jukwa laa technologia nadhani miezi minne imepita kama sio mitano


sasa kama ulishakiandika wasiosoma kipindi hicho ndio wasirudie kusoma na vya huyu ..atuko hapa kwenye ushindani embu jitahidi na wewe uje na kipya kama mwenzio ameweka hili na ulikuwa unalijua labda kipindi unaandika watu awakukuelewa jf standard si unajua so kama huyu kaeleweka mpe nafasi wenzie wajisaidie
namshukuru kwa kweli nimehangaika kweli na haka ka star times
 
Back
Top Bottom