Leo nimeweka code 710 inapga mzigo kama kawa.Atakayepata code za azam tv atujuze fasta!
ingia kwenye serching kisha ingiza code number 531 chanel zitaonekana usicheze na wabongo ukianza tu tunamaliza
umerudia nlicho wai kukiandika katika jukwa laa Technologia nadhani miezi minne imepita kama sio mitano
ha ha ha ha ya kwel hayo?wekacode 666 mpka za dstv napata supersport 3mpaka7 mtvbase trace hbo etc
daaa.......! kwangu zooote zime buma........
Mkuu tupe code mpya zile zimesha kataa