Mwendabure
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,138
- 1,040
Tafsiri kinyume ushauri wangu utagundua kitu! Bora yangu mi Mfamaji kuliko we Mfamoshi. Thinki twaisi Mkuu!sasa nimefahamu, kumbe nimepeleka kesi ya mbuzi kwa fisi. nisamehe; uungwana kama mtu hana cha kusema bora anyamaze kuliko kuongea pumba.kwa mfano mwendabure anasema: Usiache Mkuu! Kuanzia Tarehe Mosi Julai zitauwa na mchanganyiko wa Blue Band, Maziwa na Asali kwa afya za wavutaji. Usiache uhondo waja ati! mwisho wa kunukuu, kweli haya ni mawazo ya kumpatia mtu sema wewe mfamaji (usioisha kutapatapa)