Jinsi Ya Ku-Cheat Mwenzi Wako Bila Kushikwa

Acha kujidanganya bwana Allen kwamba unawezo kucheat milele. Unachofikiria wewe kuwa ni siri ya kufanikisha kumcheat mwenzi wako inawezekana ndio mbinu anazotumia na yeye. La muhimu ni kuacha tu tabia ya kucheat kwa sababu NJIA YA MUONGO NI FUPI NA ZA MWIZI NI AROBAINI TU na zaid ya yote ni DHAMBI kwa mungu. nukta

nakubaliana na wewe; ndo maana nimeandika:

17. Tegemea Kunaswa siku moja. Kama ndiyo kamchezo kako kuwa una multiple partners, basi uwe tayari siku ukibambwa kuelezea uongo wako unaofanana na ukweli. Lakini kuwa tayari kuface matokeo yake. Cheating is a game. Sometimes you win, other times you lose, but that's part of what makes it so exciting.

Watach out another Thread ya Jinsi ya Kumkamata kwa ushahidi anye Cheat
Jinsi ya Kuacha Kucheat
Na jinsi ya kumfanya mwenzi wako aache kucheat
Na Jinsi ya Kuishi na mtu ambaye alishmfumania akicheat

A
 
13. Futa SMS na Voice Mails zote na Calls Log zote. Ukiacha zikikutwa ndiyo Kiama chako.

Labda hapa ulikuwa unamaanisha kufuta sms na voice mails zinazohusiana na mpenzi wako wa nje. Maana kama ni kufuta sms zote kabisa si ndo rahisi mno kushikwa??
 
Kilichonifanya nimshtukie hubby kimojawapo ni kufuta call logs. Nilianza jiuliza ina maana jamaa apigi wala hapigiwi simu. Kwa hiyo kwa watu makini unashtukiwa kama utafuta call logs. Kuwa na e mail ya siri pia ni risk. Kwani nilikuta jamaa amehacha computer ikumbuke pasword so nili log in kama ninalia vile ingawa nilikuwa sijhi user name nilitype lots of initials mwisho kitu kikajibu na kudisplay pasword chenyewe. Kuhusu kuhusu kuhijack e mail ni rahisi sana kama umekaa na mtu muda mrefu. Unajifanya umesahahu pasword basi yahoo wanakupiga maswali. I did trial and error like for a month mwisho nikapata majibu yote. Mfano unaulizwa jina la pet wako wa kwanza ni nani. Nick name ya favourite aunt wako ni ipi? Mbona easy. Unapewa new pasword e mail inageuka yako na jamaa hakwambii kitu wote mnakauka kwani hawezi kuuliza ilihali ni illigal e mail. Well huwezi pata new mails lakini unapata mawasiliano yote ya awali.
 
Of course no one has a right to give anyone bad news. Utaishia kuchukiwa wenzako wanasolve mambo yao. Ila mtu binafsi ni vema kuwa mdadisi kwani it helps kugundua uhusiano mchafu alonao mume/mpenzi mapema kabla hajakolea au kuzaa nje. Maana inasikitisha mume mke anakuwa na affair for 5 years bila kujulikana. Mimi huo nahita ni uzembe au kutojali na nitadoubt mapenzi yenu. If you ignore much what your partner is or is not doing it might be you have multiple partners. Ni jukumu letu kulindana na one of the ways to do so ni kupelelezana. Nahita kulindana kwa sababu si wote wanao cheat wanapenda. Kuna watu wanatumia hirizi na wengine basi tu wanashawishi vibaya mno. And majority of men are weak when it comes to temptations.

Jamani kila kizuri kina upande wake wa pili wa ubaya wake kwa hiyo sio vibaya kujua na hii inaweza kukusaidia kumjua mtu uliye nae ni wa aina gani. unaweza ukaona mtu yuko so perfect kwa kila kitu kumbe anakucheat mbaya. mimi ninajua mtu anacheat mbaya, ila linapokuja swala la mkewe huwez amin, kiasi tukikaa na huyo mwanamke tukimpa story tunayotendewa anasemaga "im so lucky my hubby is so perfect" unamwangalia unacheka sababu wakati mwingine unaona bora awe happy kwa anavyofikiria kuliko kumwambia halafu uwe chanzo cha matatizo
 
Kilichonifanya nimshtukie hubby kimojawapo ni kufuta call logs. Nilianza jiuliza ina maana jamaa apigi wala hapigiwi simu. Kwa hiyo kwa watu makini unashtukiwa kama utafuta call logs. Kuwa na e mail ya siri pia ni risk. Kwani nilikuta jamaa amehacha computer ikumbuke pasword so nili log in kama ninalia vile ingawa nilikuwa sijhi user name nilitype lots of initials mwisho kitu kikajibu na kudisplay pasword chenyewe. Kuhusu kuhusu kuhijack e mail ni rahisi sana kama umekaa na mtu muda mrefu. Unajifanya umesahahu pasword basi yahoo wanakupiga maswali. I did trial and error like for a month mwisho nikapata majibu yote. Mfano unaulizwa jina la pet wako wa kwanza ni nani. Nick name ya favourite aunt wako ni ipi? Mbona easy. Unapewa new pasword e mail inageuka yako na jamaa hakwambii kitu wote mnakauka kwani hawezi kuuliza ilihali ni illigal e mail. Well huwezi pata new mails lakini unapata mawasiliano yote ya awali.

Mkuu karibu Private Intelligence Club.

kazi unaiweza. LOL
 
Of course no one has a right to give anyone bad news. Utaishia kuchukiwa wenzako wanasolve mambo yao. Ila mtu binafsi ni vema kuwa mdadisi kwani it helps kugundua uhusiano mchafu alonao mume/mpenzi mapema kabla hajakolea au kuzaa nje. Maana inasikitisha mume mke anakuwa na affair for 5 years bila kujulikana. Mimi huo nahita ni uzembe au kutojali na nitadoubt mapenzi yenu. If you ignore much what your partner is or is not doing it might be you have multiple partners. Ni jukumu letu kulindana na one of the ways to do so ni kupelelezana. Nahita kulindana kwa sababu si wote wanao cheat wanapenda. Kuna watu wanatumia hirizi na wengine basi tu wanashawishi vibaya mno. And majority of men are weak when it comes to temptations.

Nyumba Kubwa, you said it all. very informative.
 
JP hukufuatilia mada. Baada ya hii itakuja:

1. Jinsi ya Kupata Ushahidi wa Ku-Cheat

2. Jinsi ya Kuacha Ku-Cheat

3. Jinsi ya Kumfanya Mwenzo Aache Kucheat

Stay tuned.

Kwenye red hapo mkuu... naisubiri kwa hamu
 
Ngoma inogile ni pale ambapo mke na mume wote wana wapenzi wa pembeni na wote wana apply hizi rules.
 
Ngoma inogile ni pale ambapo mke na mume wote wana wapenzi wa pembeni na wote wana apply hizi rules.

Duh! Then u get Mr & Mrs Smith . . . LOL

Dawa ni kila baada ya miezi 3 unamburuza mwenzi kwenye HIV TEST na ajue hiyo ni Mandatory vinginevyo no unyumba.

Hiyo atafanye aliye mjanja tu anayependa ndoa yake na familia.

Respect.
 
Hapa sasa tunaelekea kubaya jamani tunapeana hizi mbinu za kishetani, ukimwi utaisha kweli
 
Hapa sasa tunaelekea kubaya jamani tunapeana hizi mbinu za kishetani, ukimwi utaisha kweli

Fuatilia series hii, hutajilaumu. Ukitaka kuacha au kumkamata au kumfanya mwenzi wako aache, lazima kwanza uelewe somo.

Stay tunes and read other threads of this series.
 
Jinsi ya Ku-Cheat Bila Kushikwa

Tahadhari:

Haishauriwi Kucheat kwa kuwa kuna madhara makubwa na ni dhambi kubwa. Hata hivyo information hizi ni zile ambazo zinatumiwa na Professional Cheaters ambao si rahisi kuwakamata kwani wako makini sana.

Ukikamatwa lolote linaweza kukupata mfano kupigwa, kuuwawa, kuachwa, kufedheheshwa n.k. If you do it, do at your own risk

Je unataka kujua ni vipi Um-Cheat mwenzi (Mke/Mume) wako bila kushikwa? Kama unataka sexual pleasures nje ya ndoa yako au relation yako na kuifanya iwe siri nzito usiwe na wasiwasi. Ili uweze Kumcheat mwenzi wako bila kubambwa inakubidi ufuate dondoo zifuatazo:

1. Mchukulie Mwenzi Mke/Mume wako kama ulivyokuwa unamchukulia kaba ya Affair. Ni lazima umwonyeshe tabia zile zile bila mabadiliko.

2. Wasiliana na Mpenzi wako unaye Cheat naye Kimada unapokuwa Nje ya Nyumbani. Mawasiliano yasifanyike home ila uwapo Ofisini, Bar, Restaurant nk. Usitumie namba ya simu ambayo Mwenzi Mume/Mke wako anaifahamu kila unapoweza. Usitumie emails au online chat kwa kuwa mwenzi wako kama makini atakukamata tu.

3. Usimwambie Mtu yeyote juu ya affair yako. Mpaka unaingia kaburini don’t tell anyone. There is no Secret shared. Hakuna mtu atajua unless ameambiwa.

4. Hakikisha unaandaa hadithi nzuri au excuses ambazo zinafanana na ukweli na usishau hata kimoja. One mistake, one goal.

5. Hakikisha hana details za pesa zote unazotumia katika Affair au Cheating. Kwa hiyo pesa ya Hotel, dinner, etc zitoe katika source ambayo haifahamu. Na usiweke receipt hata siku moja. Ukiipata tu, iharibu na kuitupa.

6. Oga kabla hujaenda nyumbani mara tu baada ya kumaliza affair yenu. Hakikisha harufu ya “Mchezo wenu”, lipstick, nywele na perfume zote zinadhinitiwa na kuwekwa sawa kabla hamjatoka eneo la tukio.

7. Hakikisha mpenzi wako anajua kuwa Una Mke/Mume au GF/BF unless kama ilikuwa ni one-night stand lakini naye pia anaweza kukufuatilia kwenye Facebook kitu ambacho ni hatari kwani anaweza akapost chochote na mambo yakaharibika.

8. Don’t fall in love. Kama unatafuta LOVE kweli na si Affair, then the rule is Get a divorce first. Usichanganye Excitement ya LUST na LOVE. Kumtafutia Mpenzi/Kimada wako maua au kumchukua dinner mara kwa mara ni njia rahisi ya kushikwa.

9. Usijifanye Guilty. Kama umeamua kula tamu, basi vile vile tambua kuwa huo ni msalaba wako hadi kaburini. If it was about Sex affair basi uko Ok, lakini kama umempenda then kuna shida. Usikubali kuvunja uhusiano mzuri na Mke/Mume wako. Usikubali kufeel guilt kiasi kitakachokufedhehesha na kuleta hisia zitakazomkesesha raha Mume/Mke wako. Guilt/pain zako is your problem. Deal nazo. Kuwa na roho ya paka.

10. Kila wakati wa Affair tumia protection au vaa kondom. Hakuna kitu kibaya kama kuzaa nje ya ndoa au kupata magonjwa ya kuambukiza kasha ukampelekea Mke/Mume wako. Kama ikibidi fanya Full Medical check up na Kimada wako na ifanyike several times. And pull out wakati wa kumaliza.

11. Kuwa na email ID ya siri na kila wakati futa history katika computer yako. Usiache laptop ukiwa umelog in.

12. Kama ni lazima kutumia simu yako, usitumie maneno ya hisia ya mapenzi mfano “Nimekumiss sana”; “It was so sweet” nk. Badala yake tumia coded language mfano; “Nimekumiss sana = Network hakuna” au “It was so Sweet = Chakula Kilikuwa Kitamu” nk. Kuwa mbunifu.

13. Futa SMS na Voice Mails zote na Calls Log zote. Ukiacha zikikutwa ndiyo Kiama chako.

14. Mfurahishe Mwenzi Mume/Mke wako na Mwonyeshe Mapenzi. Assume wewe ndiyo peke yako unamcheat mwenzi wako. Fikiria kumwonyesha mapenzi. Kila unapocheat mfanyie kitu kizuri, mletee maua, mnunulie zawadi, mtoe out, mpe romance ya kutosha nk. Usiwe mjinga kuomba msamaha na kupeleka maua na kilio baada ya kubambwa. Fanya hivyo kabla.

15. Nenda Nje ya Mji Kucheat au Centre of a very Busy Place ambapo yeyote akikuona hatakuhisi vibaya. Usiende “Viwanja” au sehemu zinazojulikana za maraha maana unaweza kuonekana.

16. Affairs za Ofisinini ziko poa zaidi. Raha yake kila mtu anajua wote ni wafanyakazi na si rahisi kushtukiwa. Mnakula Tunda huku mnakausha tu. Shida ni pale mapenzi yakizidi halafu mkakorofishana na moja akawa bored. So, play it cool.

17. Tegemea Kunaswa siku moja. Kama ndiyo kamchezo kako kuwa una multiple partners, basi uwe tayari siku ukibambwa kuelezea uongo wako unaofanana na ukweli. Lakini kuwa tayari kuface matokeo yake. Cheating is a game. Sometimes you win, other times you lose, but that’s part of what makes it so exciting.

Me dont like this thread..:A S thumbs_down:! Ina maana una hamasisha watu wacheat....is not good!!! :A S thumbs_down:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom