Jinsi Ya Ku-Cheat Mwenzi Wako Bila Kushikwa

Ya nini kuwa na wapenzi wa kubadilishana simu na email wakati machangudoa wapo kibao na unapewa huduma baada ya hapo hakuna cha kupeana namba za simu wala email, unalipa unaishia.

Tena uzuri wa changudoa kondom ni lazima lakini hizi nyumba ndogo kuna wakati mnazoeana hamtumii kondom tena.

Halafu hiyo kanuni ya kupeleka zawadi kwa mwenzi wako baada ya kucheat itasababisha watu watiliwe shaka hata pale ambapo ni zawadi ya ukweli isiyo na unafiki nyuma yake.

Binafsi napendelea Parlours ..kuliko kuwa na mahusiano kama issue ni kubadili mboga sio unaenda parlour...or you go for one night stand......haya mambo ya kuwalipia watu nyumba na kuwanunulia magari ..alafu ukiwa kwa mkeo wanatumia wengine mali zako ni ushamba..
 
Thread of the month!
Bravo mleta mada,sina la kuongeza,umemaliza kila kitu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom