Mwafrika anaangamizwa na ujinga na uvivu wake. Lakini hataki kukubaliana na hali halisi na badala yake anatafuta mtu wa kulaumu!Tafadhali itazame hii video imetumika lugha ya kiingereza, mimi sio mtafsiri mzuri pia.
Ila kwa kifupi jamaa kaongelea lengo la wamarekani kuwa, kwa muda mrefu serikali ya marekani yaani toka enzi za Kissinger, wamarekani wamekuwa na LENGO LA KUTUPUNGUZA IDADI sisi wa Africa na HAWATAKI TUJITAMBUE NA KUTUMIA RASIRIMALI ZETU kwa FAIDA ya mataifa yetu.
Hivyo kwa mantiki hiyo, napata mashaka sana na misaada yao hasa katika sekta ya AFYA, yaani CHANZO tunazopewa kuna uwezekano mkubwa tunapandikizwa magonjwa yanayopelekea sisi waafrika kushindwa kuzaliana VIZURI.
Dawa nyingi tunazopewa hasa katika miradi yao, kama Bill Gates foundation, Bill Clinton na wengineo inapaswa kuangaliwa kwa jicho PEVU.
Wasomi wetu ifike mahali wafanye tafiti za kutosha kulisaidia bara letu. WAZUNGU hawatupendi, na hakuna kitu wanatoa kama MSAADA, ambao ni BURE, lazima wanamalengo mapana.
Ikiwezekana, MIRADI yote, ichunguzwe, hata haya mambo wanaita HAKI ZA BINADAMU ni UPUUZI, kwani ndani yake ndio kuna ushoga na uchafu mwingi. Yote haya yanadidimiza nguvu ya uzalishaji barani mwetu.
Africa imetupasa kusimama pasipo kutegemea hawa jamaa. Najua ni mchakato, ila tunaweza. HAWATUPENDI.
CHUKUA TAHADHALI jilinde na Corona.
Nakaribisha wajuvi wa mambo watusaidie, mimi sio mwandishi mahili.
View attachment 1410600
Sent using Jamii Forums mobile app
..............................Mkuu mimi huwa nashangaa napomwona au kumsikia mtu akisema Waafrica ipo kampeni ya chini chini kutumaliza/kutupunguza,mzungu asihangaike na Wakorea au Wairan wanaoingia maabara kila wakati kila siku ku-assemble silaha hatari kwa usalama wao waje kuhangaika na sisi tulioshindwa hata kutengeneza tooth pick?Mbona tunazidi kuongezeka na hii mipango yao ni ya siku nyingi sana tuache kutishana
China wenyewe wana sheria ya kudhibiti mfumuko wa watoto
Mbona tunazidi kuongezeka na hii mipango yao ni ya siku nyingi sana tuache kutishana
China wenyewe wana sheria ya kudhibiti mfumuko wa watoto
Hivi ni vita vya kisaikolojia ambavyo vimeanzia huko USA vilikuwa vimelengwa kwa wenzetu wamarekani wenye asili ya Afrika..............................Mkuu mimi huwa nashangaa napomwona au kumsikia mtu akisema Waafrica ipo kampeni ya chini chini kutumaliza/kutupunguza,mzungu asihangaike na Wakorea au Wairan wanaoingia maabara kila wakati kila siku ku-assemble silaha hatari kwa usalama wao waje kuhangaika na sisi tulioshindwa hata kutengeneza tooth pick?
Wakitaka kutupunguza wala hawatatumia nguvu nyingi kutunyima misaada yao tu inatosha,msaada hata usiwe wa pesa Leo kama wakagoma kutupa baadhi ya dawa nani atapona hapa!
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Duh...!.
P
Sasa hofu ya nini chill man ukiona mke wako hazai upesi vuta mchepuko
..............................Mkuu mimi huwa nashangaa napomwona au kumsikia mtu akisema Waafrica ipo kampeni ya chini chini kutumaliza/kutupunguza,mzungu asihangaike na Wakorea au Wairan wanaoingia maabara kila wakati kila siku ku-assemble silaha hatari kwa usalama wao waje kuhangaika na sisi tulioshindwa hata kutengeneza tooth pick?
Wakitaka kutupunguza wala hawatatumia nguvu nyingi kutunyima misaada yao tu inatosha,msaada hata usiwe wa pesa Leo kama wakagoma kutupa baadhi ya dawa nani atapona hapa!
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Sasa hofu ya nini chill man ukiona mke wako hazai upesi vuta mchepuko