Kavurugwa huyuu!!nimkute kwenye Uzi then aje sema eti Mimi ndo nimemuaminisha is it serious...Mimi na wewe si tuliongea nilimtaja mtu mimi....!!Kumbe yalianzia hivyo haya bwana yote maisha ila kumuhisi mtu vibaya bila kuwa na uhakika sio vizuri
Ok lets go, ila sio vzuri kukaa na kinyongo kiasi hicho.Wala nilikuwa sijapewa ban basi tu nilikuwa nje ya jf anyway yamepita nilikuwa nakupa tu taarifa kuwa ulikosea kaka
Kuujua muandiko ndo wa mumu?!!!daah!!!Kumbuka vzuri ulisema unaujua mwandiko.
Haaa..jamaniii mi ndo nlisema yule ni mumu...?!serious 1 kush!!!rudi tena kwenye ule Uzi bwanaa!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aiseeh!zigo waniangushia miye Leo kaka!!
Wakati kuna yule Carlos nilimkuta anaongea mule!!
BTW nakuheshimu halafu hata shunie hajawahi kukusema kwangu vibaya wala kukudiss...so usijitetee ili uniharibie...na shunie huyo hatujwahi kukuongolea hataa...kaka relax!!usinizulie bwanaa..nakuheshimuu
Hahahaha, umeanza.Si unaona tunavyo nyooshwa mzee??
Ukiona mtu anaitwa sweetheart jua anaundugu na bashite au magufuli
Hapo sasa[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo Kaka na ww mtu akiongea kitu anakupeleka peleka tu
Topic closedNakuheshimu tafadhali sitaki unisingizie kuwa mkwelii kabisaa rudi kwenye ule Uzi!!
Kwa nini ujisafishe kupitia mwingine!!! Am sorry!!broh!!!!jitetee kama wewe mwenyewe!!!
Kua mwanaume!
Kavurugwa huyuu!!nimkute kwenye Uzi then aje sema eti Mimi ndo nimemuaminisha is it serious...Mimi na wewe si tuliongea nilimtaja mtu mimi....!!
Basi jitetee wewe kama wewe!!usinigusee!!mimi!!tafadhali!!!Naona tusifukue makaburi,
Hata mm naheshimu sanaaa tu.
Si ivo.Kwahiyo Kaka na ww mtu akiongea kitu anakupeleka peleka tu
Basi jitetee wewe kama wewe!!usinigusee!!mimi!!tafadhali!!!
Malamiko yake ndo aniingize mimi?Kwani shunie mimi nlivyokufata nlisema Fulani kasema si nilisimama mimi na uzuri ulivonambia si yeye nkaelewa nkatoka kwenye Uzi nkakuambia niombee radhi na nkafata mwenyewe kwenye Uzi habari na hoja mchanganyiko nkamupologize kuepusha shetanii ..Hapana huyo nina malalamiko yake ndio mana nilikuwa namwambia sababu hata akimquote mumu hataki anajua snitch nimemwambia ili ajue
Mmemuelewa sana tuu!!Nahisi haujamuelewa kush
Naona umeongea kiutu uzima zaidi. Umewaacha wale wanaondekeza utoto.wengine wana flirt tu hapa JF,wakifunga computer zao ni baba/mama/mume/mke wa mtu...likes zisikuhadae ..mtu anaweza akakukubali kwa points zako na hivyo kukupa likes bila kuwa na maana nyingine Zaidi ya hio like tu...
Ur my friend hakuna anaenijua jf zaidi yako unajuaga sipendi mtu anisingizee!!!nimechukia niwe mkweli!Eiiish yameisha khaaa
Malamiko yake ndo aniingize mimi?Kwani shunie mimi nlivyokufata nlisema Fulani kasema si nilisimama mimi na uzuri ulivonambia si yeye nkaelewa nkatoka kwenye Uzi nkakuambia niombee radhi na nkafata mwenyewe kwenye Uzi habari na hoja mchanganyiko nkamupologize kuepusha shetanii ..
Sisi watu wazima no need to quarell kwa vitu vya kipumbavu!!halafu miye sina mda wa kuweka mabifu yasiyo na kichwa wala miguu now we r in good terms na mumu!!!
Ur my friend hakuna anaenijua jf zaidi yako unajuaga sipendi mtu anisingizee!!!nimechukia niwe mkweli!
Mwanaume kujifanya mwanamke mtandaoni ni dalili tosha za kuelekea kwenye ushoga.Hahaaaa wakiona mtu kaokoteza picha za demu mkari kaweka profile picha wao wanaingia kichwa kichwa kumbe wanachat na dume ππππππ.