Jinsi watu wanavyotongozana JF

Mi hakuwahi nipa likes wala nini zaidi ya kusoma nyuzi zangu nilivyofungua uzi wa hamorapa tu akanifata pm,najiuliza ningekuwa nimefunga pm ningempataje jamanii alhamdulillah
Binamu kufunga Pm ni kupishana na gari ya mshaharaaa!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Babe insta kumbe we mlafi eenh ukienda tena usisahau kuniletea zawadi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ulafi wa kujaribu vitu siunajua tena mambo ya fantasy nikasema siwezi kuondoka huku bila kuonja kumbe kuna maajabu yananisubiri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..... usiwaze insta bebe nikienda tena nahisi ndio itakuwa mara ya kwanza nazama PM ntakuuliza zawadi unayotaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mmhh!siwaelewe huuu ubebe!!ujuee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…