carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,648
Sijawahi kupigwa kibuti hapa JF sababu sijawahi kutongoza mtu hapa JF.
You can't lose a fight if you don't fight at all.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Nimeshangoja mpaka miguu inaumaMbona ilikuwa wazi ebu ngoja
[emoji23][emoji23]
Kuna uzi nakumbuka ulikuwa love connect kule,watu walivaana hatari
Ijae kwa nn kwani lazima ujibu wakikutumia[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] yaani wewe!!utafanya PM yangu ijae Leo mana yako umeifungaa
Uzi wa muda mrefu sana,una mwaka ama zaidi
Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa - JamiiForums
haya insta babe pitia hapo [emoji23][emoji23]
kuna comment zangu mbili hyo page no 3 sasa ni ile ndefuu ambayo ina jina lako mwishoNgoja nipitie insta babe wangu
I'm looking for my Johnny..Duuh tusio Na majina Kazi tunayo
Upendo wa kweli hauthibitishwi Kwa kumpa pesa binti kipindi mnaanza mahusiano, na ni bora ukawa mkweli tangu mapema Kwa binti na muwazi,njisi utakavyo inshi na binti katika hayo mahusiano usimvute Kwa kutumia pesa ndivyo atakavyo ishi na wewe kioindi hicvbi cha mahusiano ukijifanya una pesa atazipiga haswaa,ukienda kwake ukiwa mkweli ataishi na kukupenda Kutoka kwenye nafsi Yake sio pesa na hamna tofauti na wale wanaokujaga wanalia kuwa wameachwa na maumivu kumbe wamegalamika mnoo Kwa sababu alikuona unazo hakukupenda Bali alifuata pesa, noihayo tu Kwa ufupiMaendeleo gani hayo unayofanya ambayo hayamuhusishi mwanamke!! Basi subiri umalize maendeleo ndio utongoze.
Sijawahi kupigwa kibuti hapa JF sababu sijawahi kutongoza mtu hapa JF.
You can't lose a fight if you don't fight at all.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Nimeshangoja mpaka miguu inauma
kuna comment zangu mbili hyo page no 3 sasa ni ile ndefuu ambayo ina jina lako mwisho
Mimi na wewe tusipokutana uani tutakutana sebuleni kusikokua na ban ya name calling bebe!!!Naniiiiii sipendi code mm
Mimi na wewe tusipokutana uani tutakutana sebuleni kusikokua na ban ya name calling bebe!!!
cheers brother...Mimi wanakujaga wenyewe pm but I noticed they are all Madanga !
Sasa mm na madanga wapi na wapi japo Alhamdulillah vicent vipo but Wallah sijawahi nunua papuchi na sito.. kamwe.
Hivi Ni kweli una majibu ya kibabe [emoji848][emoji848]Mwanamke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani ebu wanimwagie na mm wanazimwaga wapi hayo mahela
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] halafu hivi uliletewa kadi ya harusii bestiiiiUle uzi jamani mmoja hakubali kuachika new babe ndio kashikilia
Mi hakuwahi nipa likes wala nini zaidi ya kusoma nyuzi zangu nilivyofungua uzi wa hamorapa tu akanifata pm,najiuliza ningekuwa nimefunga pm ningempataje jamanii alhamdulillah
Umeanza[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Niko nagonjeka shunie mm