Jinsi watu wanavyotongozana JF

Kwa kutumia mbinu ya mwisho ya mtoa mada nimekula vichwa vitatu humu mdani

Naweza kusema ni mbinu bora zaidi
 

braza kakurisisha πŸ˜‚
 
Hahaaaaa ndio unavyowadanganya[emoji23][emoji23]
 
Maendeleo gani hayo unayofanya ambayo hayamuhusishi mwanamke!! Basi subiri umalize maendeleo ndio utongoze.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119] [emoji119] [emoji119] hail to uu Madame!!!!
 
πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ una usungo ehhhπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Km namjua huyooo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] anamwaga hela balaaa!!!

Haswaa hapo kama wasiraa hapooo
 
Wanaokuja pm kwangu ni wahenga alafu wana pesaaa na hawajawahi comment wala kulike msilishane matango pori mm huwa najibu I'd kongwee full stop
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…