The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,279
Toa mfano wa PhD holders ambao ni hopelesslyHuwa nacheka sana ninapowasikiliza wasomi wa Tanzania hasa wale PhD holder!!....ujinga mtupu!!
Toa mfano wa PhD holders ambao ni hopelesslyHuwa nacheka sana ninapowasikiliza wasomi wa Tanzania hasa wale PhD holder!!....ujinga mtupu!!
Shida inakuja unakuta huoni tofauti Kati ya la saba na mwenye elimu kwenye kujenga hojaNasikia darasa la 7 hupita kiujanja,umafia ulozi,rushwa nk.mbunge wa Rungwe alienguliwa baada ya kuhisiwa anatoa rushwa ni la 7.
Lusinde na msukuma huwa hawana hoja na uchambuzi bali kushambulia watu.
Kuna makabila bado yanachagua wabunge darasa la saba.
Sio la saba Tu Bali the most of them upita kiujanjaunjaNasikia darasa la 7 hupita kiujanja,umafia ulozi,rushwa nk.mbunge wa Rungwe alienguliwa baada ya kuhisiwa anatoa rushwa ni la 7.
Lusinde na msukuma huwa hawana hoja na uchambuzi bali kushambulia watu.
Kuna makabila bado yanachagua wabunge darasa la saba.
Sawa uko sahihi, lkn wanachofanya kina Msukuma na Kibajaji siyo weledi bali kudhalilisha na kutaka km vile kuaminisha watu kuwa elimu na wenye elimu hawana maana. Hiyo si sawa kabisa na ndiyo utaona pia wanaongea hayo kwa sababu ya ukosefu wa elimu ambayo ingewasaidia kuwafanya wajitambue.Tutakapofikia hatua ya kuweza kujua maana halisi ya elimu
Tutafikia hatua ya kuweza kuheshimu na kuwaheshimu wote wenye elimu isiyo rasmi na elimu rasmi
Binafsi nathamini elimu rasmi kama ilivyo kwa ile isiyo rasmi lakini naamini kwamba elimu rasmi haimsaidii mtu kama hawezi kuitumia kuongeza thamani na ubora wa mazingira yanayotuzunguka
Hayo makaratasi yanaoyoitwa diploma, degree, masters, PhD yasitudanganye tukajihisi bora zaidi na kuanza kupandisha mabega juuuu sababu kuna wasiokua nayo na pia wanafanya vitu vikubwa tu
Kumsifu huyo marehemu ni uzwazwa tu. Mshenzi fulani tu yule, ni washenzi wenzake tu wanaweza kumsifu.Kama unamuongelea JPM ujue tuu ameitendea haki kwenye miaka yake akiwa mwalimu, miaka 20 ya Uwaziri na sita ya u6rais.
Hajawahikuitumia PhD kama unavyoitumia wewe kwenye mitandao ilihali hakuna lolote ulilowahi kuifanyia jamii yako
Halafu acha kumlinganisha hayati John Pombe Joseph Magufuli na vitu vya ajabu ajabu
dudus elimika
Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli
Mkuu sio kuwadharirisha bali ni kuwaambia ujinga wao sio kila msomi anakuwa na akili ya maisha,wengi wao wanakuwa vichaa kama ulikuwa hujui ,Kibaji na Musukuma wana akili nyingiilalabda kwa kuwa mazingira ya kusoma wakati wao hayakuwawezehsa kuendelea, sio kweli kuwa kwa kuwa mtu kaishia darasa la saba basi asiwasema wenye PhD zao kisa wamesoma,wengine wana digrii za utapeli na wengine pamoja na kuwa ni wasomi ni wapumbavu tu, wengine pamoja na kuwa ni wa darasa la saba wanaishi mazuri sana kulinganisha na hao walikula vitabu,sio kila msomi ana akili ya maisha na si dhambi kumsema mtu msomi,anasemwa Mungu iwe ndio hawa na aliyesemwa ni huyo Profesa Muhongo na sio wasomi wote yeye ndie wa kulaumiwa kwa kudharirisha wasomi wenzake kwa kuleta pumba bungeni wakati tunajua ni choli tu na mtu asiyejiamini,angekuwa anajiamini angeyesema yote hayo wakati Jiwe likipumua."Elimu ni ufunguo wa maisha" hii ni kauli ambayo wengi wengi tumeisikia sana katika juhudi zetu za kutafuta maarifa na ujuzi kwa ajiri ya maisha yetu. Lakini kwa mazingira ya Tanzania elimu imekuwa kitu kingine tofauti kama vile nongwa, kejeli, dhihaka na masimango.
Hakuna kitu kinachouma na kusikitisha kama bunge ambacho ni chombo kinachotunga sheria kuongozwa na ushabiki badala ya weledi Watanzania tujitathimini.
Kitendo cha Wabunge wa darasa la saba kuwashambulia wasomi wakiongozwa na spika sio cha kiungwana na wala hatafika popote maana hakuna ya kuwa na weledi.
Ni muda sasa Wasomi wajitizame kwenye kisha waangalie kama niwaminifu kwenye taaluma zao. Wasomi waaminifu na taaluma zao hawawezi kukubali kudhalilika sababu tu wametoa mawazo tofauti na wengine.
Kitendo cha akina Msukuma na Lusinde kupayuka bungine kumsema mtu kwa "defense mechanism'' bila kutoa hoja ni wazi kabisa bunge halithamini weledi badala ya ushabiki na umbea.
Tanzania mama yangu☺️☺️☺️
Kumsifu huyo marehemu ni uzwazwa tu. Mshenzi fulani tu yule, ni washenzi wenzake tu wanaweza kumsifu.
Kama unamuongelea JPM ujue tuu ameitendea haki kwenye miaka yake akiwa mwalimu, miaka 20 ya Uwaziri na sita ya u6rais.
Hajawahikuitumia PhD kama unavyoitumia wewe kwenye mitandao ilihali hakuna lolote ulilowahi kuifanyia jamii yako
Halafu acha kumlinganisha hayati John Pombe Joseph Magufuli na vitu vya ajabu ajabu
dudus elimika
Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli
Alikuwa mwalimu Wa primary?.
Spika mpumbavu hawezi kuongoza taasisi yenye watu werevu"Elimu ni ufunguo wa maisha" hii ni kauli ambayo wengi wengi tumeisikia sana katika juhudi zetu za kutafuta maarifa na ujuzi kwa ajiri ya maisha yetu. Lakini kwa mazingira ya Tanzania elimu imekuwa kitu kingine tofauti kama vile nongwa, kejeli, dhihaka na masimango.
Hakuna kitu kinachouma na kusikitisha kama bunge ambacho ni chombo kinachotunga sheria kuongozwa na ushabiki badala ya weledi Watanzania tujitathimini.
Kitendo cha Wabunge wa darasa la saba kuwashambulia wasomi wakiongozwa na spika sio cha kiungwana na wala hatafika popote maana hakuna ya kuwa na weledi.
Ni muda sasa Wasomi wajitizame kwenye kisha waangalie kama niwaminifu kwenye taaluma zao. Wasomi waaminifu na taaluma zao hawawezi kukubali kudhalilika sababu tu wametoa mawazo tofauti na wengine.
Kitendo cha akina Msukuma na Lusinde kupayuka bungine kumsema mtu kwa "defense mechanism'' bila kutoa hoja ni wazi kabisa bunge halithamini weledi badala ya ushabiki na umbea.
Tanzania mama yangu
really??????Huwa nacheka sana ninapowasikiliza wasomi wa Tanzania hasa wale PhD holder!!....ujinga mtupu!!
Shida yetu ni kwamba hata hatusikilizi tukachambua hayo wasomi wetu wamesema nini. Mwandishi wa habari akitufanyia muhtasari tu na kutafsiri anavyopenda yeye au anavyoona gazeti litauzika, basi ndiyo na sisi tunaimba na kukariri hivyo hivyo.Nchi za watu elimu kubwa ya mtu inajipambanua kwa kile anakitoa kwa jamii inayomzunguka kukabiliana na changamoto mbali mbali.
Huku Afrika elimu za watu ni vyeti vingi acha wayaoge tu.
Prof mzima anashauri nchi iachane na uzalishaji wa nishati ya umeme kwa njia ya maji.
Maisha pia yanafundisha. Mara zote ubongo huchakata taarifa mbalimbali kutoka mazingira aishiyo mtu. Haijalushi madarasa bali mazingira akuliayo mtu.Tutakapofikia hatua ya kuweza kujua maana halisi ya elimu
Tutafikia hatua ya kuweza kuheshimu na kuwaheshimu wote wenye elimu isiyo rasmi na elimu rasmi
Binafsi nathamini elimu rasmi kama ilivyo kwa ile isiyo rasmi lakini naamini kwamba elimu rasmi haimsaidii mtu kama hawezi kuitumia kuongeza thamani na ubora wa mazingira yanayotuzunguka
Hayo makaratasi yanaoyoitwa diploma, degree, masters, PhD yasitudanganye tukajihisi bora zaidi na kuanza kupandisha mabega juuuu sababu kuna wasiokua nayo na pia wanafanya vitu vikubwa tu
Hapo sawa.Mwalimu ni mwalimu
Ni kweli sasa hivi bunge limekuwa kama kikao cha matayarisho ya "kitchen party". Ndugai ameshindwa kulipa heshima kwa kushiriki na utani na vijembe. Bunge ni sehemu ya kujadili serious issues, lakini linapotumika kama sehemu ya kupeana mipasho, inasikitisha. Ni kweli, wakati mwingine huwa zinatoka hoja kwa wasomi, mpaka unasikitika na kutoamini hiyo hoja imetoka kwa mtu mwenye Ph.D., inapotokea hivyo inawapa nafasi wabunge vilaza kujitutumua, maana hoja za wasomi zinakuwa hafifu na za kuchekesha! Lakini sasa hivi kuna kudhalalishana kunakobarikiwa na Spika. Spika anatakiwa awe serious na asilete utani maana anapokuwa amekaa kwenye kile kiti yuko kazini, na kazini hatutaniani. wale wanaodai kuwa Spika amepwaya, ni kweli amepwaya na anakitia hicho kiti, heshima mbaya.Wacha watukanane na kuvunjiana heshima wenyewe kwa wenyewe wale waliokuwa wakiwatukana sasa hawako bungeni ni raha tupu.