Hapo kwenye ulimwengu wa sasa ndipo alipodanganya kwakua hizo zote ni energy za ulimwengu uliopita...Wa sasa ni wa renewables na clean energy...Hayo mengine yote ni sawa kwangu...zima kifanywe kwanza na wajiolojia na alikuwa anaeleza kwamba badala ya kuelekeza nguvu zote kwenye umeme wa maji ni wakati sasa wa kuangalia pia uzalishaji wa umeme kupitia vyanzo vingine ni kwasababu ameshaoversee impact zake akatoa mfano tukiwekeza kwenye wind, gas, geothermal, coal na nyinginezo ambazo ni very essential kwa ulimwengu wa sasa je hapo hajatumia usomi wake? tumefuatilia ni consultancy ngapi anazifanya kwa taifa hili za kijiolojia na hata tumseme hakuna anachofanya kama msomi? na je hawa wasomi waliopo bungeni tukisema waondoke bungeni tuwaache wakina msukuma tu unadhani tutakuwa na nchi ya aina gani? Mtu anapayuka wasomi wanaliletea taifa hasara je tujiulize kuna waziri au naibu asiye msomi? kuna makatibu wakuu na wasaidizi wasio wasomi? na je project zote zinazoendelea na kujengwa zinafanywa na wasio wasomi? Hayo makampuni wanayoyaleta kufanya project kubwa na wanarecruit wasomi wakubwa wa hapa nchini ni wajinga? Tulipofikia kama taifa ni pabaya kuanza kudharau wasomi. Inasikitisha sana
Tatizo lake ni dhamira ya kutoa hayo mapendekezo...Alifatuta angle nzuri ya ku act smart...Hiyo ni unethical kutumia taaluma yako kuji justify its called self seeking!