Jinsi wanawake wanavyochukulia Dhana ya "Kutongozwa"

Vijana wengi mnapokosea ni ku-focus kwa wanawake badala ya ku-focus kwenye maisha yako mwenyewe. Equip yourself with knowledge, swag, stability, character, principles, anything that makes you better, and see how easier they fall in place.

Jaribu hata humu kwenye mitandao. Be an interesting person, watakuja kibao. Ukiwashobokea, unakuwa kituko tu.

Cha msingi kabisa, never ever try to impress a chick that doesn't like you already.
 
Vijana wengi mnapokosea ni ku-focus kwa wanawake badala ya ku-focus kwenye maisha yako mwenyewe. Equip yourself with knowledge, swag, stability, character, principles, anything that makes you better, and see how easier they fall in place.

Jaribu hata humu kwenye mitandao. Be an interesting person, watakuja kibao. Ukiwashobokea, unakuwa kituko tu.

Cha msingi kabisa, never ever try to impress a chick that doesn't like you already.

Labda useme Vijana wa siku hizi wanakimbia majukumu Yao.

Ku-focus na wanawake ni moja ya majukumu ya Mwanaume.
Unaposema maisha unazungumzia General term, unaposema wanawake unazungumzia Specific term iliyopo kwenye maisha
 
Vijana wengi mnapokosea ni ku-focus kwa wanawake badala ya ku-focus kwenye maisha yako mwenyewe. Equip yourself with knowledge, swag, stability, character, principles, anything that makes you better, and see how easier they fall in place.

Jaribu hata humu kwenye mitandao. Be an interesting person, watakuja kibao. Ukiwashobokea, unakuwa kituko tu.

Cha msingi kabisa, never ever try to impress a chick that doesn't like you already.
Mkuu, Robert akikupinga nitashangaa.

Kiufupi nakuunga mkono asilimia zote.
Ukicheki Adam alipewa dunia ila baadae aliletewa Eva kama ziada tu. Hata Mungu alisema '' si vyema akae peke ake" maana ake Adam iliwezekana akaishi peke ake.

Adam purpose kubwa ilikuwa ni kuchase the world ailime aitumikie and so on. Mwanamke ndio kazi yake ya ziada ni kumfurahisha tu Adam baada ya mishe zake.
So nikirejea maelekezo yako juu mkuu umeua, mwanaume fanya mambo yako watakuja wengi me mwnyew ni shahidi wa hili. Katika ulimwengu wangu wa mahusiano wanawake ambao nimedate nao na walinipenda kuzidi chochote ndiyo wale ambao sikuwa chase.

Nb ili waku chase ishi life lako kiutofauti kabisa. Kwa busy aisee watakusumbua na utawala sana. Kuna manzi alinipenda kisa tu eti niko chuo kikuu lakini hosteli nalima mboga mboga hapo nakaa hosteli ya kishua balaa ila baada ya masomo niko busy kuhudumia chinese

Mfano kwenye kundi la wanaume ulilopo kuwa different smart etc. Wanawake hawapendi mwanaume maneno mengi. Wao wameumbiwa mdomo. Be a bad man, chase your dreams.

Kutongoza mwanamke ambar hauko naye kwny mahusiano ni ujuha mwingine
 
JINSI WANAWAKE WANAVYOCHUKULIA DHANA YA "KUTONGOZWA"

Anaandika, Robert Heriel.
Asali ya Warembo!

Wanawake wapo complicated ukitumia akili ya kiume kuwatafakari, lakini ukitumia akili ya kike utawatambua vyema Kabisa na wala hawatakusumbua kuwaelewa.

Kama hauna akili ya kuwaelewa wanawake basi Taikon nitakushauri utumia mwanamke mmoja kuwaelewa wanawake. Kimsingi Wanawake wanajuana wao Kwa wao. Asijeakakuambia mtu kuwa wanawake hawajui wanachokitaka, sio kweli wanawake wanajitambua na wanajua kipi wakitakacho.

Kinachowafanya wanawake waonekane hawajui walitakalo ni kutokana na wao kutaka kuwafurahisha wanaume. Taikon nakuambia hivi, wanawake Jambo la Kwanza kwenye hii Dunia wanalolipenda ni kumfurahisha mwanaume, kuhakikisha mwanaume anamuona yeye ni wathamani, mwanamke siku zote hutafuta Kupendwa, naam kupendwa na Mwanaume.

Shida inajitokeza ni kuwa, Wanawake bado hawajui ni kipi mwanaume anataka,hapo ndipo hujaribu kila namna kuhakikisha wanakipata kila mwanaume atakacho. Katika hizo harakati ndizo humfanya mwanamke aonekane haeleweki. Jambo ambalo sio Kweli.

Hakuna kazi rahisi Kama kumjua mwanamke kwani wengi wao wapo Emotional, wanaongozwa na mihemko zaidi kuliko Akili. Kutowaelewa wanawake Kwa wanaume waliowengi kunatokana na wao kutumia zaidi hisia kuliko Akili. Kwa mtu atumiaye akili lazima awaelewe wanawake ni viumbe wanamna gani.

Kwa vile mwanamke ni kiumbe anayetumia hisia zaidi kuliko Akili, ni rahisi kujua kipi kimemkasirisha, kipi kimemfurahisha, kipi Hapendi na kipi anakichukia.

Mwanamke anayekupenda ni KAZI rahisi Sana kumjua, na hakuna Jambo wanawake wanalolichukia Kama kutowatambua, huwaga wanakuona ni mwanaume Bwege usiye na akili.
Sio ajabu wanawake wengi wanavutiwa na wanaume Bad boy, playerboy, kwani hao wanaakili za kujua nini mwanamke anataka, na wanajua kusoma moods za Wanawake.

Wanawake wanavutiwa na wanaume wajanja, werevu, ambao wao huwaita wacheshi na watundu,
Hakuna kazi ngumu Kama kumuiba mke WA Mtu mwerevu,mjanja, ambaye mke wake humuita mtundu na mcheshi,
Ila hata uwe na pesa au Cheo Kama sio Mwerevu, mjanja na Mkeo anakuona zona na sio mcheshi ni rahisi Mkeo kuibiwa na wajanja na werevu.

Wangapi Chuoni walitumia pesa zao kuwahonga wanawake na bado wasiambulie kitu, wakati kuna wahuni walikuwa wakipiga mademu haohao bure tena Kwa kuhongwa pesa.
Labda hujanielewa, isipokuwa mjanja na mwerevu wanawake watakutesa mno hata uwe na Pesa. Taikon ninaushahidi na Jambo hili.

Ni lazima ujue kusoma moods ya Mkeo wako au mwanamke, ujue muda huu mke au mwanamke huyu hataki maneno mengi, ujue muda huu anataka kucheka na kufurahi, ujue muda huu anataka tuu Stori labda na Drama za hapa na pale, ujue muda huu anahitaji mikwala na kufokewa kisha kubembelezwa, ujue muda huu anahitaji tuu kutulia kwenye kifua au kukumbatiwa, ujue muda huu mkeo anahitaji mshindani hivyo unatengeneza zengwe Kwa kujifumanisha kijimeseji kutoka Kwa mwanamke mwingine, kisha atakufokea na kupaniki wengine watataka kuipigia hiyo namba au kukuamrisha upige hiyo namba. Hapo utakachopaswa kufanya ni kumbembeleza Kwa kuomba Msamaha, kisha utamponda huyo aliyetuma SMS Kwa kiwango kitakachomridhisha Mkeo, wakati unaponda pia usisahau kumsifia Mkeo.
Mfano utasema;
"Yaani kuna wanawake wajinga Sana, wanaendekeza umalaya umalaya tuu, wanafikiri Mimi ni Kama HAO wanaume wapuuzi, mwanamke mwenyewe anasura mbaya Kama Kondoo la Boko haramu, Bora hata angekuwa na Sura nzuri Kama ya Mke wangu kipenzi(unataja jina lake huku unamshika USO wake, hapo anaweza kukuzuia usimshike, usijali Sana jua anahasira)"
Anaweza kukuambia; Kwa hiyo angekuwa na Sura nzuri ungemkubalia sio?
Mjibu; Thubutu! Sura nzuri angeitolea wapi, nilikuambia mke wangu kwenye hii Dunia hakuna anayefikia uzuri wako, wengine ni Kama vikatuni vya Tango(jitahidi ukitoa mifano awe anaijua).

Endelea; Mtu mwenyewe hana hata Shepu, hivi kweli mke wangu, niache msambwanda wote huu(huku ukiushika na kuutolea macho ya udenda, matamanio) niende Kwa Yule asiyejulikana anaenda au anarudi"
Jitahidi Sana USO na macho yako yafanane na maneno yako, onyesha hisia ili zizivute hisia za Mkeo si unajua wanawake wanaendeshwa na hisia. Kumbuka muda wote atakuwa anakuangalia macho na usoni kwani wanawake Kwa Jambo hili ni werevu Sana.
Ili kuondoa concentration yake kwenye USO wako kama unajijua haupo vizuri kwenye Drama ni Bora uwe unamchanganya Kwa kuzungumza huku unahamisha hamisha USO wako au kuzunguka, mara kushika kichwa basi ilimradi kutoa concentration yake kwako.

Kutongoza hakuishi, kutongoza kunaendelea hata baada ya kumpata Mkeo, mkiwa ndoani kutongoza ndio kunazidi zaidi kuliko kabla ya kuingia ndoani.

Kutongoza ni kitendo cha kumshawishi mtu Kwa kutumia mbinu mbalimbali za kuvutia.

Wanawake wengi Kama sio wote hupenda kutongozwa na watu wanaovutiwa nao.

Wanawake huchukulia kutongozwa Kama ishara ya heshima na ufahari ikiwa atatongozwa na mtu anayevutiwa naye. Mtu WA hadhi aitakayo.

Lakini mwanamke huchukulia pia kutongozwa Kama ishara ya kudharaulika na kudhalilishwa ikiwa atatongozwa na mtu asiyevutiwa naye au asiye WA hadhi anayoitaka.

Taikon niliwahi fanya uchunguzi katika mambo haya; nilifanya Kwa lengo la Kuwafunza la kupata Mafunzo ambayo baadaye ningeyatumia kuwafundisha Vijana wadogo.

Uchunguzi 01.
1. Kutongoza Wamama watu wazima!
Unashangaa, unaona ni aibu eeh! Mtanisamehe! Ni mambo ya udadisi.
Ukimtongoza mama mtu mzima ambaye anaumri unaokaribia umri wa Mama yako au zaidi. Haya yanaweza kujiri,
I/ Kama hakujui vizuri ataona umemdharau na hauna adabu, atalaani na atajiona umemdhalilisha.

ii/ Kama anakujua lakini unamaisha mabovu ataona umemdharau na hauna adabu, zingatia pia Kama unavaa vibaya ataona unalaana wewe.

iii/ Kama anakujua na unamaisha mazuri iwe ni KAZI ya kuajiriwa au kujiajiri inayokuingizia kipato alafu yeye anamaisha magumu basi hataona umemdharau ataona ufahari na atajivunia.

iv/ Kama anakujua unamaisha mazuri iwe Kwa kuajiriwa au kujiajiri na kipato kizuri alafu yeye naye anamaisha mazuri, hapo kuna mawili, Mosi, Kama mume wake amemtenga na hamjali Kwa kumpa mapenzi Bora uwe Kwa ubize au Kwa makusudi basi anaweza kuona mtongozo huo Kama heshima, ukombozi na sehemu ya faraja. Pili, Kama mume wake anamjali na kumpa mapenzi Bora basi atakutaka uachane na mpango huo, atataka muwe tuu marafiki. Na urafiki huo utakuwa WA mashaka kwani itategemeana huko ndoani kwake mahusiano Yao yanaendaje.

Kama Mwanamke anapenda au anakazi inayompa kipato kizuri au familia yake IPO njema, alafu kijana masikini ukamtongozo hapo ataona umemdharau Kwa kiwango cha juu kabisa, wanawake wanaongoza Kwa ubaguzi, ili uuteke moyo wake itakupasa ufanye maigizo ya kuwa mtanashati, uwe Mwerevu na alijue Jambo hilo sio Kwa maneno bali hata matendo, wanawake wote wanavutiwa na wanaume werevu Sana, jifanye unajali, hapa utakuwa upo 50/50 na Inategemea na ndoani kwake nini kinaendelea.

v/ Uchunguzi wangu unaonyesha kinachowafanya wamama wengi watoke ndoani ni upweke, wengi wanaishi ndoani lakini wametelekezwa kimapenzi na waume zao.
Ikiwa utamtongoza mwanamke mama aliyetrlekezwa kimapenzi ingawaje yupo ndoani basi mtongozo huo atauchukulia Kama Ukombozi na Faraja kwake.
Wanawake kiasili wanapenda maneno matamu na yafaraja.
Mtongozo ndio sehemu pekee ambayo mwanamke hupata maneno hayo.
Kitendo cha mwanaume kuacha kumtongoza Mkeo ni kutengeneza gap baina yako na yeye.

Uchunguzi huu sitaumalizia hapa, nilipata muda nitaueleza.
Hata hivyo lengo la uchunguzi huu ni kutaka kujua ni kitu gani kinasababisha wamama wakubali mitongozo ya Vijana au baadhi ya wamama wawatongeze Vijana.
Hata hivyo ninawaasa na kujiasa mwenyewe Kama Mwanaume, ikiwa uliamua kuingia ndoani au kuoa, basi kaa ukijua wanawake ndio viumbe rahisi kuishi navyo ikiwa utatumia akili tuu. Kero na ugeugeu wao ndio unakufanya uthibitishe wewe ni mwanaume kamili au umepungua.

Kwa upande wa Wasichana au wanawake wenye umri wa Kati ya 24-35.

I/ kutongozwa kwao ni ufahari ikiwa watatongozwa na watu wa hadhi wanayovutiwa nayo. Pia kutongozwa kwao huona Kama kudhalilishwa na kutukanwa wakati mwingine ni mkosi ikiwa atatongozwa na mtu asiye na mbele wala nyuma.

ii/ mwanamke usipomtongoza alafu akawa anavutiwa na wewe huchukia na huweza kukuona mtu mbaya usiyejiamini.
Zingatia pia Mwanamke anaweza kuvutiwa na wewe lakini akawa hakupendi(kumbuka hawanaga mapenzi ya dhati).
Kutomtongoza kutamfanya akuone unamdharau, unamuona sio lolote, hana uzuri ule auonao au watu wamuambiao.
Anataka umtongoze ili akukatalie, ili uwe chini ya himaya yake, ujione kwake huna lolote a umheshimu, hivyo mwanamke kama anavutiwa na wewe lakini hakupendi atataka umtongoze ili akukatalie ili yeye ndiye abaki kuwa na thamani.
Lakini usipomtongoza kwake itamuweka kwenye nafasi ya pili baada yako.
Jioni kusema kumtongoza mwanamke ambaye hakupendi Ila anavutiwa na wewe ni kujisalimisha mbele zake, na kumfanya awe namba moja.

Hii ipo pia Kwa Sisi wanaume, mwanamke kabla hujamtongoza lakini unavutiwa naye anakuwa nafasi ya Kwanza na anathamani lakini ukishamtongoza akakubali thamani yake inashuka anashika nafasi ya pili. Hapo bado hujambanjua, ukimbanjua anaweza kushika nafasi ya tatu mpaka ya kumi huko.

Hii inakuambia nini, ndio maana wanawake werevu Hapendi ukaribu na wanaume hovyohovyo ili kujipa Ile thamani yake, kadiri mwanamke anavyowakatalia wanaume ndivyo thamani yake inavyopanda zaidi na zaidi.
Na kadiri mwanaume anavyokataliwa na wanawake ndivyo thamani yake inavyoshuka chini Kabisa.
Sijui Kama naeleweka!

Zingatia, ni lazima usome saikolojia ya mtu husika, Kama anakupenda ujue anakupenda.

Na hii itakuwa ngumu Kwa wanawake kuwajua wanaume wanaowapenda tofauti na wanaume ambao kujua mwanamke anayempenda ni Jambo jepesi mno.

Taikon nimemaliza.
Niite mtu mahaba.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Wenye subira na magazeti kazi kwenu mi nimeishia robo
 
Nature inaelekeza kuwa Mwanaume ndiye anayepaswa kum-chase mwanamke.

Hayo ni majukumu ya Mwanaume hasa kipindi cha ujana akitafuta Familia.

Mwanaume anamajukumu mengi, kutafuta pesa haiondoi majukumu mengine, hilo uliweke akilini
pusy don't chase a dog
 
Naomba zungumza maswala mengine ila hili liache mana ni utata zaidi ya utata
 
Mtuwangu mimi anaroho nyepesi sana mwanzo nilidhani anazingua tu lakini kumbe ndio tabia yake.
Yani anapenda full concentration yangu iwejuu yake mudawote.
Kunasiku alirukiwa na tone la mafuta jikoni namimi nilikuwa bz namalizia viporo vya kazi nyumbani sasa sijamuambia pole ilikuwa balaa,😆😆

Kunamda natamani sikuziende first tuzeeke mambo yasiwe mengi, damen!.
 
Back
Top Bottom