Jinsi wanavyotuona & The Illusion of Power

Jinsi wanavyotuona & The Illusion of Power

Mwkjjj ujumbe ni mzito na kinachonishangaza ni kauli za baadhi ya viongozi wetu ni zakujichanganya sana yaani inatupa aibu kwa viongozi kubadilisha kauli kila kukicha.

Naomba niwarudishe nyuma kidogo kunukuu baadhi ya kauli za viongozi:

Sakata la buzwagi pale bungeni kila mtu alisikia na baadaye viongozi walewale walibadilisha kauli zao baada ya kuona wananchi wabaini nani anasema ukweli.

Sakata la kampuni iliyotuuzia Radar tulisikia mengi sana mpaka hatakuambiwa kampuni hiyo inamilikiwa na serekali ya UK na baadaye kauli zilibadilika baada ya mambo kuwaka moto.

Sakata la meremeta mara wamesema ni kampuni ya serikali na wengine si kampuni ya serikali na mpaka sasa bado hawajakubaliana kuwa mumiliki ni nani?

Sakata la Bot hili ndio ilikuwa aibu wapo waliosema Bot ni shwari hakuna shida na baadaye sisi ndio tuliitisha uchunguzi hapa shida nini kwani mpaka sasa bado tunashuhudia kigugumizi.

Sakata la Gavana wazamani mara simtumishi wa serikali baada ya uteuzi wake kutenguliwa,serikali hamtafuti,serikali haijui anatibiwa wapi,mkono wa serikali ni mrefu ikimhitaji itamleta,kusita kutangaza msiba wake, serikali haihusiki na kifo chake,Nyumbani kwake bongo kuwekwa ulinzi ni wanini?,alifanyiwa upasuaji mara kadhaa umejuaje ulisema hujui anatibiwa wapi?

Serikali ikiendeshwa hivi je mwanachi wakawaida ataelewa nini na amwamini kiongozi yupi? i`m fill totaly confused,please help me!
 
We Need Dual Revolution ,kwanza Akili Zetu Na Pili Kiuchumi,pia Lazima Tuwe Values Kwa Mfano Familia Na Kufanya Kazi Kwa BiDII
 
Nyakati za uchaguzi wa 2005 wabunge walionekana wakitembea kwa miguu vijijini wakisaka kura kwa wananchi. Wananchi walijitoa hasa ili mgombea wao apate ubunge na walikuwa wako tayari hata kufanya matambiko mbalimbali usiku wa manane ktk vijiji husika ili akubalike. Wagombea walijishusha chini kuwa karibu na wananchi na kujitahidi kujua matatizo yao na kuahidi kuyamaliza pindi watakapokuwa madarakani. Matatito yaliyoonekana ni mepesi waliweza hata kuyatimiza palepale ili kuonyesha kuwa kweli walikuwa na nia ya kuwasaidia wananchi wao.

Jamaa wakuja kuukwaa uongozi wamejenda daraja kubwa kati yao na wananchi kiasi kwamba kuwafikia inakuwa ni shida mno. Kumuuona mbunge kwa waliompa kura ni shida mno na hata response anayotoa kwa waliomfikia ni ya kujifanya yeye ndiye serikali wakati yeye na msemaji wa wananchi. Jamaa imefikia kuwa wanafanya kazi za DC na siyo zao za kuwasemea wananchi matatizo yao. Wao ndiyo wamekuwa mstari wambele ktk kuwalaghai wananchi.

Kwa hakika hakuna jambo lisilokuwa na mwisho na Mungu siku zote husimama na wanaoonewa. Aibu kubwa hiyo waitegemee inakuja na i karibu kuwafikia wao wanajifanya wamesimama. Ni bora wangeamua kustaafu kama akina Mungai, Kapuya maana aibu inayowakuta hawa sasa ni kubwa isiyosemeka. Na hii inakuja kwa sababu tu wamepanda migongoni mwa wananchi, wananchi wamekuwa daraja la maendeleo ya familia zao.
 
THEY FEAR YOU BECAUSE YOU ARE YOUNG,THEY FEAR YOU BECAUS YOUR THE FEATURE,, HOW FEARFUL THEY MUST BE THAT THAT THEY SHOT YOU CHILDREN ,HOW POWERFUL YOU MUST BE THAT THEY FEAR YOU SO MUCH,YOUR POWERFUL BECAUSE YOUR GENERATOR OF FREDOM. BISHOP TUTU

Sound of freedom
Amandla.............ngawethu
 
Itakapofika wakati hasa wa kuweka kalamu chini, hakuna atakaymuhimiza mwenzake, kila mmoja atajiona tu ana act automatically kwa sababu uvumilivu una mwisho wake
 
tuweke kalamu chini, tuelekee msituni! enough is enough

mwikimbi ukienda msituni utapigana na nani? Kabla ya kuweza kuleta mabadiliko katika watawala, watawaliwa lazima wabadilike; na kabla ya kuwashinda kwenye sanduku la kura ni lazima tuwashinde kwenye sanduku la fikra.

Kuna mtu ameuliza kama hii ndiyo makala niliyotaka; jibu ni hapana nitaiweka hapa muda si mrefu ujao.
 
Pamoja na maumivu, maudhi, karaha, fedheha na uchovu tulio nao, naona ni vigumu kufanikisha mawazo mengi mazuri ya hapa JF. Viongozi cum Mafisadi na mafisadi walioko nje ya uongozi mbali ya kwamba wanashirikiana, vilevile wanarecruit watu wa kuwarithi endapo hawatakuwepo. Ndio maana hii vicious circle iliyopo ni ngumu kuvunjika na hata kupenyeka. Hebu angalia NEC, ubunge na idara mbali mabli za serikali ambazo zinaongozwa na watoto au jamaa za viongozi cum mafisadi na mafisadi nje ya uongozi.

Najua nitaambiwa kwani kuna ubaya gani mtoto wa kiongozi cum fisadi na fisadi nje ya uongozi wakipata madaraka kama wanastahili? Pamoja na kwamba nakubaliana na hilo kwamba wakistahili wasinyimwe kwa vile tu ni watoto au jamaa za viongozi cum mafisadi au mafisadi nje ya uongozi, lakini tukumbuke "Mwana wa muhunzi haachi kufukuta" Pamoja na credentials zake bado huenda fikra na makuzi yake yamejikita katika ufisadi.

Na kama hiyo ndiyo hali, tunafanyaje kujiponya? Kwani kila nikiangalia sioni mlango wa kutokea kama hiyo circle yao haivunjiki. Wazazi/jamaa wakiondoka, wanarithi watoto wao, jamaa zao na mchezo unaendelea.

So when we are thinking, we have to go beyond and come up with something which will really bring about change, if possible from all directions and levels in the society.
 
CCM, being a top-down party with a very corrupt top echelon is beyond reform and anybody generous enough to give that party this benefit of doubt is at best spendthrift.

To illustrate this, just think about this.The most senior CCM cadre responsible for ethics is Andrew Chenge. And up to now he neither feel the need nor face the pressure to resign from his party responsibilities which caricatures the whole notion of an ethical and anti corruption CCM.Instead we constantly hear of how hard it is to corner Chenge, and how he might have gotten the funds from selling cows!

The hope of CCM is in it's unproven middle and lower ranks cadres, who by the almost natural laws of CCM acsendacy, cannot hope to celebrate high office.High office by the long established traditions and unwritten formulaes of CCM is rewarded to people with party interests at heart, no matter the dictates of prudency, state interest and practicality.To be a CCM MP or NEC member you are almost guaranteed to have participated in corruption, most probably directly if only allowing for a few people with "integrity" by CCM standard who will be forced to participate in incriminating and possibly blackmailable corrupt tendencies, albeit indirect.

For these reasons, any serious reform -discount propaganda crusades and bumper sticker one liners- in the foreseeable future, will have to come from the top a la Gorbachev.And this is simply not going to happen under prevailing conditions.CCM is too powerful to relinquish its hold, the bulk of electorate is too rigid to demand change - giving little incentive for reform to a corrupt party leadership- and the few and far between honest Abe's in CCM are too powerless, too afraid of party discipline and the "kulindana" machinery, too wary of the prospects of ending up like Mrema and Hamad or in too much jockeying for position which involves kissing the bigger heads and singing praises of how cultured the emperor is in dress even when the emperor walks stark naked.

The only hope for our country at this point is regime change, either by a serious -non existent yet- opposition or by some serious faction of CCM standing behind a CCM member running as a private candidate, the precise reason CCM and its government do not want to grant private candidature.
 
CCM, being a top-down party with a very corrupt top echelon is beyond reform and anybody generous enough to give that party this benefit of doubt is at best spendthrift.

The hope of CCM is in it's unproven middle and lower ranks cadre, who by the almost natural laws of acsendacy, cannot hope to celebrate high office.High office by the long established traditions and unwritten formulaes of CCM is rewarded to people with party interests at heart, no matter the dictates of prudency, state interest and practicality.

For these reasons, any serious reform -discount propaganda crusades and bumper sticker one liners- in the foreseeable future, will have to come from the top a la Gorbachev.And this is simply not going to happen under prevailing conditions.CCM is too powerful to relinquish its hold, the bulk of electorate is too rigid to demand change - giving little incentive for reform to a corrupt party leadership- and the few and far between honest Abe's in CCM are too powerless, too afraid of party discipline and the "kulindana" machinery, too wary of the prospects of ending up like Mrema and Hamad or in too much jockeying for position which involves kissing the bigger heads and singing praises of how cultured the emperor is in dress even when the emperor walks stark naked.

The only hope for our country at this point is regime change, either by a serious -non existent yet- opposition or by some serious faction of CCM standing behind a CCM member running as a private candidate, the precise reason CCM and its government do not want to grant private candidature.[/QUOTE]

Hold up, when did this change of heart happen? I thought you were more in favor of institutional changes first than regime change (or at least concurrently).....
 
I said nothing of institutional change per se, which is to say I said nothing against a concurrent regime change /institutional change.

A regime change such as described above will indeed qualify as quasi institutional change because it will be predicated by a constitutional change allowing private candidates.
 
Before you change the regime or the institutions you have to change the mentality of the majority of the people affected by that regime/insitution. To change the regime/insitutions without mentality change... it'll be in itself an illusion of change where what has been changed is purely cosmetical and decorative.
 
I alluded to this at length in past discussions.First the masses must be educated and mobilized.Then meaningful institutional changes can be demanded by a people with civic awareness, then you have a level playing field that will allow for accountability and transparency -not only from CCM, but all parties and political organizations-

From there - and only from there- will the notion of free and fair elections to take one central example, be meaningful.

Of course there is the school of thought that understandably argue that this can be a rather lengthy process, especially in a country with no middle class and low urbanization, and that the quickest way to implement similar changes would be to change the regime no matter what and then start institutional changes as soon as regime change is complete.

My problem is, after regime change, with the new regime in power, who is going to police the police? Will we merely swap parties and continue to drink old wine from a new bottle?

My thinking is atleast with institutional changes before regime change, there will be some insurance in the way of institutions to guarantee some semblance of the rule of law and that good governance is not made a mockery by the new regime.
 
Before you change the regime or the institutions you have to change the mentality of the majority of the people affected by that regime/insitution. To change the regime/insitutions without mentality change... it'll be in itself an illusion of change where what has been changed is purely cosmetical and decorative.

How do you change the mentality of the people? Or let me ask you this, can you change my mentality (whatever it may be on whichever it is)?

Pundit, I thought you/ we (me and Mwafrika) talked about about regime change vs. institutional change in another thread...( I believe it was about Chadema or something like that)....does it ring a bell..?
 
Nyani,

I remember that, that is what I was referring to when i said "I alluded to this at length in past discussions"
 
Nyani,

I remember that, that is what I was referring to when i said "I alluded to this at length in past discussions"

Ok, I got you but I'm kinda confused because in your post today you said the only hope for now is "regime change"....which to me sort of contradicts what you had said earlier (in past discussions)...
 
Ok, I got you but I'm kinda confused because in your post today you said the only hope for now is "regime change"....which to me sort of contradicts what you had said earlier (in past discussions)...

In those discussions I did say that the best option was institutional change (with a change in attitudes and civic awareness) before regime change.I also realized the challenges posed by the practicality of this clean shift as addressed above so I said I could see myself compromising with a concurrent regime change with institutional change.

The above post mentioned regime change but did not specify what type of regime change.I was referring to a concurrent regime change with institutional change because as stated before I do not trust any existing political party -not only in Tanzania, but the world over- to police itself.

Even the Vatican cannot do that!
 
Okay, fair enough. I think on this one we agree on almost everything and I'm glad to know that you are cognizant of the difficulty that we face in having institutional changes alongside attitudinal changes and etc. Personally, I honestly think that uprooting CCM will mark the beginning (hopefully) of all the changes that we want. They are the impediment of those changes and I don't see any other way that you attain the changes without removing the impediment. CCM has to go!
 
Nyani Ngabu is set and stuck in his ways. He thinks Waafrika Ndivyo Walivyo! Now he is asking anyone to change his mindset or mentality or attitude or whatever you want to call it. The ball is in your court...
 
Back
Top Bottom