Mwabukusi amuonya Godbless Lema Heshimu mitazamo ya watu wengine

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniphace Mwabukusi, amemtaka Godbless Lema na wanaharakati wengine kuheshimu tofauti za kimtazamo na kimkakati katika harakati za kudai demokrasia, akisisitiza kuwa kutokubaliana hakupaswi kuwafanya wasahau malengo yao ya pamoja.

Katika ujumbe wake aliouandika kumwelekeza Lema, Mwabukusi amesema viongozi, wanaharakati na wapigania mageuzi wanapaswa kuwa tayari kupokea ukosoaji, uwe umetolewa kwa mtazamo chanya au hasi.

Amesema tofauti za namna wanavyopambana kudai demokrasia si udhaifu, bali zinaakisi mitazamo na viwango tofauti vya uelewa, huku kila mmoja akiwa na nafasi na mchango wake katika harakati hizo.

================
Chapisho la Bonipahace Mwabukusi kwenye ukurasa wake wa facebook:

My Brother Godbless Lema;

Hakuna utumwa ulio bora kuliko mwingine; mtumwa ni mtumwa, awe wa nyumbani au shambani.

Kama viongozi,Wananageuzi na wanaharakati tunao amini katika diversity ni lazima tukubali kukosolewa, kwa njia nzuri au mbaya.

Tofauti zetu katika njia za kupambania demokrasia si udhaifu, bali ni uhalisia wa mitazamo na upeo wetu. Kila mmoja ana nafasi na umuhimu wake, licha ya mapungufu yaliyopo katika njia zetu.Tofauti zetu za kimkakati ndiyo ubinadamu wenyewe.

Hata wanafunzi wa Yesu walikuwepo watu wa engagenent kama Philipo na kulikuwa na conservative kama Simon Petro.Ndiyo maana Wayunani na watu kuyoka bethsaida walimuendea Philipo ili awape connection ya kumuona Yesu hawa kwenda kwa Petro!

Migogoro na tofauti kati ya wanaharakati wa ndani na nje ya nchi isituruhusu kusahau lengo kuu. Tusipoteze dira kwa sababu ya tofauti zetu.

Kipaumbele chetu ni UHURU NA HAKI KWA TUNDU LISSU, HAKI KWA WAHANGA WOTE WA KESI ZENYE MISUKUMO YA KISIASA, NA HAKI KWA WAHANGA WA UDHALIMU ULIOJITOKEZA KABLA, WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI WA TAREHE 29 OKTOBA 2025 katika haya ugomvi unatoka wapi?

Tushindane kwa hoja, tukubali tofauti zetu, tuheshimiane na tusiruhusu migogoro yetu binafsi itupotezee lengo la pamoja.

UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITALIVYOPONYA TAIFA LETU.

BAK MWABUKUSI.
 
sasa na yeye mwabukusi si aheshimu mtazamo wa Lema, mbona povu sasa :pedroP:
 
Lema ni tapeli wa kisiasa. Aje ccm asiumize vijana kujifanya mpambanaji kumbe mpambanuzi
Gentleman,
kwamba hapo ndio umepiga siasa ya maana ya kiwango cha juu sana kumdestroy lema kisiasa, right?

Kwa kumuita lema tapeli tu na movie imeishia hapo, right? :pedroP:
 
Ndio hao sasa wanaitwa nyumbu leo hii
jina baya sana kuwahi kutokea, zamani tuliwaita wapinzani
Wao kama hufati mkumbo wao basi hawakukubali.
sayansi ya siasa imevamiwa na vibwengo na sasa imekua na vituko vingi sana aise 🐒
 
Wewe unayefuata mkumbo wa mtu ambaye ni form failure, akili zote zimeamia kwenye Manyonyo yake makubwa. Si ndio hamnazo kabisa. Ni bora hata nifuate mtu mwenye kadegree.
 
Umemona Traore anavyopelekesha nyumbu nchini kwake?
Kwani ana degree?
Unataka degree mbona hii nchi iliongozwa na maphd ya kina nyerere mpaka leo hii mnajengewa vyoo vya mashuleni na wazungu, hizo degree zilikuwa wapi ?
 
Mwabukusi naye ni kiroporopo.
Ukimkuta anavyopiga biti unaweza kuhisi kuna la maana atafanya
 
Lema sio philipo ni YUDA ESKARIOTI ameenda kwa wakuu wa makuhani kuchukua vipande 30
 
Gentleman,
kwamba hapo ndio umepiga siasa ya maana ya kiwango cha juu sana kumdestroy lema kisiasa, right?

Kwa kumuita lema tapeli tu na movie imeishia hapo, right? :pedroP:
Leo ameongea kama anavyongea Comrade Habib mchange
 
sayansi ya siasa imevamiwa na vibwengo na sasa imekua na vituko vingi sana aise 🐒

1793560801760.png
 
Back
Top Bottom