Jinsi wanavyosalimiana siku hizi west africa

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
5,372
Reaction score
4,139
1408011339896.jpg
 
Ebola is spreading faster than we can control. WHO 2014
 
Hii kwa wenzetu mkuu yani shidaaaaaaa!!!! tupu
Jirani zetu wameshaanza kufanya kweli hapo kiwanja cha ndege Jommo Kenyata kwa kukagua wageni wanaoingia, je sisi kuna chochote ambacho tumeanza katika harakati za kuepukana na kuletewa gonjwa la Ebola?

Mkuu nakuamini wewe kwa habari za ndani zaidi, sasa tunaomba utujuze kama kuna chochote kinachoendelea
 
Midaa ya saa 4 usiku nitakuwa kwenye uwanja wetu wa Ndege Dar leo hii mkuu nitajaribu kucheki wamejiandaaje.Alafu nitakupa mlejesho
 
Back
Top Bottom