NAPITA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,077
- 2,250
Kwa matukio najua huna mpinzani, nakukubali sanaHARUFU nashukuru nimefika salama naona kidogo wameanza kukagua na kuwa waangalifu sana hasa kwa wageni wanaoingia kwa mbali pia namuona huyu kijana wa Yanga msemaji wao Baraka sijui amekuja kumpokea nani mida hii au kuna mchezaji mpya nini anawasili.... ngoja nichukue picha