Jinsi viziwi wanavyotoa huduma nzuri mgahawa wa kitalii Iringa

chagonjam

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
354
418
Jinsi viziwi wanavyotoa huduma nzuri mgahawa wa kitalii Iringa

1542527008878.png
 
Hivì hawa wahudumu viziwi mawasiliano yanakuaje au kuna menu maalum unauonesha.
 
Dah inaleta mvuto fulani hivi wa kimapenzi.
Mimi nishawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msichana mzuri lakini ndo hivyo tena...hasikii lakini mkarimu sana mara nyingine alikuwa ananiangalia bila mimi kujua lakini mtunapokutanisha macho anatabasamu nami namkumbatia daah!!!..miaka imeenda.
 
Hivì hawa wahudumu viziwi mawasiliano yanakuaje au kuna menu maalum unauonesha.
Kipindi fulani nilisafiri na washikaji kwenda kanda ya ziwa. Tulilala mji flani hivi, usiku kukawa kuna disco, tukaenda bhana baada kama risaa hivi, nikamwona mshikaji mmoja amekumbatiana na binti mmoja kisu chenye makali sana. Mwishoni tuliondoka naye, kumbe ailikuwa kiziwi aisee.mpaka leo jamaa hajaniambia alimuanzaaje zaidi ya kumsifia kwamba binti anayajua mambo!!!
 
Huwa ni wapole wakarimu kuna kipindi wakizidiwa na mahaba ile miguno yao utasema wanaongea.
 
Back
Top Bottom