Jinsi ulivyomtongoza mkeo au mwenza wako

Nilikutana nae kwenye duka moja mjini ananunua vitu vya mtoto kama zawadi kwa rafiki yake aliyejifungua. Tulikutana uso kwa uso sehemu ambayo ilikuwa na midoli wengi wakubwa wakubwa,alikuwa kashika midoli wawili pasi na kujua amnunue yupi kati ya wale .

Akaomba ushauri kwangu nimsaidie kuchagua (maana nilimwangalia sana hahaha ). Nikamsaidia kuchagua,alafu yule mdoli wa pili nikamnunulia yeye kama zawadi( maana alionekana kumpenda pia).

Hiyo ndio ilikuwa starting point,maana tulibadilishana contacts.
 
Nilikutana nae kitaani, enzi hizo tupo Secondary, basi nlimuona akiwa anatoka nje kwao (ni nyumba ya jirani) kumbe alikuwa mgeni pale kitaa na tulikuwa tunasoma shule moja tena bila hata kufahamiana manake alihamia kama wiki nyuma, sasa kidume nlipomuona....
ITAENDELEA....
usimalizie
 
Nilikutana nae kwenye duka moja mjini ananunua vitu vya mtoto kama zawadi kwa rafiki yake aliyejifungua. Tulikutana uso kwa uso sehemu ambayo ilikuwa na midoli wengi wakubwa wakubwa,alikuwa kashika midoli wawili pasi na kujua amnunue yupi kati ya wale .

Akaomba ushauri kwangu nimsaidie kuchagua (maana nilimwangalia sana hahaha ). Nikamsaidia kuchagua,alafu yule mdoli wa pili nikamnunulia yeye kama zawadi( maana alionekana kumpenda pia).

Hiyo ndio ilikuwa starting point,maana tulibadilishana contacts.
Aisee, that was nice bro
 
Back
Top Bottom