Baya analokufanyia mpenzi wako usilifikishe Direct kwa Ndugu

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
Jamani eeh napenda kuwaashauri tu ukiona mkeo, mmeo, mchumba unaeenda kuoa au kuolewa nae ambae kwenu wanamfahamu basi siku akikupiga tukio jitahidi kuwa na kifua cha kutunza siri ikiwezekana usiwashirikishe ndugu zako achana nae kimya kimya kama kapiga tukio kubwa na kama linavumilika basi malizana nae chini kwa chini pasipo ndugu yako kujua.

Ukiwa na tabia ya kufikisha makosa mazito ya mwenza wako kwa ndugu zako hata pale ambapo haitakiwi Basi jua Ndugu huwa wanatengeneza chuki ya moja kwa moja ambayo baadae itakuja kuleta shida. Mkeo au mmeo anaweza akakupiga tukio la aina lolote na hasira zikiwaisha mkasameheana ila ndugu zako hawatokaa wasamehe.

Muwe na vifua ndani ya Ndoa au mahusiano sio kila jambo muwe mnashtaki kwa ndugu zenu. Mnaweza nyie mkasameheana ila ndugu huwa hawalijui hilo. Ukiwafikishia jambo huwa ndio ntolee.
 
Jamani eeh napenda kuwaashauri tu ukiona mkeo,mmeo,mchumba unaeenda kuoa au kuolewa nae ambae kwenu wanamfaham basi siku akikupiga tukio jitahidi kuwa na kifua cha kutunza siri ikiwezekana usiwashirikishe ndugu zako achana nae kimya kimya kama kapiga tukio kubwa na kama linavumilika basi malizana nae chini kwa chini pasipo ndugu yako kujua

Ukiwa na tabia ya kufikisha makosa mazito ya mwenza wako kwa ndugu zako hata pale ambapo haitakiwi Basi jua Ndugu huwa wanatengeneza chuki ya moja kwa moja ambayo baadae itakuja kuleta shida.. Mkeo au mmeo anaweza akakupiga tukio la aina lolote na hasira zikiwaisha mkasameheana ila ndugu zako hawatokaa wasamehe

Muwe na vifua ndani ya Ndoa au mahusiano sio kila jambo muwe mnashtaki kwa ndugu zenu.. mnaweza nyie mkasameheana ila ndugu huwa hawalijui hilo.. ukiwafikishia jambo huwa ndio ntolee
Naomba kujua jinsia yako mtoa post
 
Mimi naonaga aibu kuongea matatizo yangu. Nakufa na yangu moyoni kimya kimya. Sipendi mambo yangu yafahamike hasa yahusiyo Ke.
Upo sahihi, kwasababu hii ndio namna yako uliyo jioangia kumaliza matatizo yako (kwenye mahusiano). Pia akili na moyo wako tayari ulikwisha kubaliana hivyo.
 
huyo.mwanaume ulie nae kila analofanya likikuudhi we fkisha kwa wazazi wako tu mwisho watamchukia mazima
Hii ni kitu watu wengi hawajui kwamba the more unawaambia parents and relatives about your wife/husband negatives, ndivyo wanavyo zidi kumchukia. Na hii chuki yao itaendelea kuishi hata ninyi wawili mtapo amua kusameheana.
 
KWA MSHAHARA WA 120,000 NIKAPANGE SEHEM GANI DAR AMBAPO NITAWEZA KUHIMILI HEKA HEKA ZA MAISHA KWA MSHAHARA HUO
 
Njoo Upange Tandale Popobawa Bondeni huku hutojutia, Chumba Kodi 15,000, Maji Bure Bondeni huku unajichotea,Huku unakuja na Unga wako tu wa ugali Mboga Unachuma bure Bondeni humu zimejaa ila changamoto mvua ikinyesha Ujue kuogelea, hilo tu wakazi wote wa huku tunapiga mbizi.
 
Uko sahih kabisa mm nina mpenzi nae tarajia kumuoa, tukipshana kidogo tu, na kosa lilikuwa lake kaenda kumwambiaa mama yake, akanichukia,
Nikaongea na mama yake kuhusu kuyamalza, alikubali , lakin kwa shingo upandee, tu, tukakaaa km miez miwili, akarudiaa kosa, nika zaba kibao, kamwambia tena mama yake, kanichukiaaa
Mara mbili yake, wakt huo hasira zetu zshaishaa na tumeesanehanaa, km kesho yake kila mtu alimtftaa mwenzioo tukaymlza sasa mama ndioo kachukiaaa mazima, amnashaur nikamwombee msamha tena.
Sjui km atakubali.
Akigom ndio basi . Mahusiano yamefikaa kikomoo
 
Uko sahih kabisa mm nina mpenzi nae tarajia kumuoa, tukipshana kidogo tu, na kosa lilikuwa lake kaenda kumwambiaa mama yake, akanichukia,
Nikaongea na mama yake kuhusu kuyamalza, alikubali , lakin kwa shingo upandee, tu, tukakaaa km miez miwili, akarudiaa kosa, nika zaba kibao, kamwambia tena mama yake, kanichukiaaa
Mara mbili yake, wakt huo hasira zetu zshaishaa na tumeesanehanaa, km kesho yake kila mtu alimtftaa mwenzioo tukaymlza sasa mama ndioo kachukiaaa mazima, amnashaur nikamwombee msamha tena.
Sjui km atakubali.
Akigom ndio basi . Mahusiano yamefikaa kikomoo

Hao wanawake wanaopenda kuwaambia kila jambo mama zao, hawafai kuoa!
Ukioa ndoa haiwezi kudumu!
Hatuombei but chukulia Mama yake akifariki ataanza kuwaambia Mama wadogo/wakubwa, mashangazi, ama majirani hata kama ishu ni ndogo tu, na wataona kama anateseka!
Watamshauri ndoa ivunjwe tu!
 
Leo nimekurana uzi unanilenga jamani mke wangu kila siku naongea nad namuambia acha haya matatzio ya kweru usipeleke nyumnani asikii sasa akiplekea na mimi napigia simu kiukwel nakuwa mkali sana namrudia wife ila kiukwel mimi hua naumia sana issue zangu matatizo yangu niyasikia nyumbani mara 100 tukae tuzungumze wawili ndani tuyamalize ila sasa naona upande wa keru washaona kero hizi kelele za kusema matatizo home hapa hatujengi ni tunabomoa tu maana hawa maana utamwambia labda baba yangu au mama yangu
Iyo itatembea famikia zima bwana simba wa dodoma sasa hivi mlevi analewa sana mimi ikirudi kwangu nitakasilika sana na baadae itatoka nje y familia ni mara 10 tukae ruzungumze mimi nawewe tu hata nisipoeleweka kwa mwanzo ila baadae nitakaa sawa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom