Jinsi ulivyo ndivyo ulivyo - Jitambue

Jinsi ulivyo ndivyo ulivyo - Jitambue

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini marafiki

Imenishangaza na kunistaajabisha sana kuona binaadamu hawajitambua
wao kuwa ni nani na wako vile walivyo kwa makusudi gani hapa duniani?

Kwanini nimetoa uzi huu hapa nimeona mahali hapahapa mjengoini nikaonelea niseme japo kidogo.
Hivi kwanini mtu hunashindwa kujitambua kuwa wewe ni nani?. Wengine wanadiriki kusema kuwa
mie nimeumbwa kiajabu ajabu yaani kimtazamo wake anaona hafai mbele za watu. Anajichukia na kuona hafai wala yeye si chochote au lolote yani imefikia mahali anajiona kero kuwepo hapa duniani. Tabia hii
wanayo hasa wadada yani wanawake. achana na dhana hiyo rafiki wewe ni wa pekee sana umeumbwa
kipekee na wapendezaa sana machoni pa watu. (sio watu8)

Kwani hao watu ni nani kwako na kwanini unawapa nafasi watu wakuratibu vile ulivyo,
kwanini wajiona hufai hasa shepu au maumbile yako hujui kuwa Mungu alikuumba kwa makusudi
na kwa mfano wake? Hujatambua kuwa wewe ni wa pekee sana katika hii dunia. Wengine
wanajiona kuwa maumbo yao hayafai wanadiriki hata kufanya operation ili kubadili maumbo yao
kisa eti shepu mbaya nataka niwe english figure nani amekwambia kuwa ukiwa fat hupendezi?
yani mtazamo wako umekaa kuwa ukiwa model ndo mpango mzima, la hasha wajidanganya bure
jinsi ulivyo ndivyo ulivyo usipende watu wakubadilishie mtazamo au jinsi ulivyo wakukubadilishia
mtazamo au ulivyo ni wewe pekee kwani umeumbika kivizuri na kimshangao besti, ondoa dhana
ya kujiona hufai wala hupendezi wewe ni mrembo, mzuri na wapendeza kivyakovyako.
Lady nasema kuwa jiweke vizuri, jipende utapendwa tu na ishi kulingana na jinsi vile ulivyo.

Wasalaamu;

Ladyf
 
Last edited by a moderator:
wengine hainauhusiano na uumbaji wa mungu,,,,, unakuta mungu kawaumba vizuri sana lakini mtu anajiachia na mavitu ya ajabu ajabu mpaka anakuwa kama sanamu la michellin , siyo kila kitu kumsingizia muumbaji jamani.
 
nadhani hujanielewa bestito wako watu wengine wanajiona hawafai kabisa mpaka wanadiriki kubadilisha viungo vyao ambavyo Mungu aliwaaumbia kwavyo eti ni wabaya

kama ni namna ambavyo Mwenyezi MUNGU amekuumba , hilo sina tatizo nalo kwani ukivunja self-esteem yako itakuwa unajiangamiza,,,,,,,,,,, mimi tatizo ninaloongelea hapa ni ile kumpa mtu moyo kwa majanga ya kimwili aliyojitakia.

kwa mfano hakuna mtu amezaliwa na kitambia , lakini leo hii unakuwa mtu (wanaume kwa wanawake) katika umri wa miaka 20 tu anamtumbo utadhani kabeba kabati la nguo humo tumboni halafu mtu aje aseme hiyo ni kazi ya muumbaji , hell NO.
 
Hata wakati nipo mdogo wasichana walikuwa wakinitania kutokana na weusi wangu..lakini baadae nikajikubali na mpaka leo najiona fahari kuwa mweusi kama mkaa..
 
tatizo ni kutokujiamin kwa kile ulichonacho na kutaka "kuishi juu ya jina..haiwezekani leo hii tuntufye, halima ama rozy uishi "J-lo" au rama, nicco, hamza aishi "Ronaldo" yeye ni yeye na wewe ni wewe. Kila mtu ananafas na namna yake kimuonekano, kimaisha, kifkra na kila nyanja katika dunia hii. Hebu jiamin na jikubali uone waliokuzunguka watakuchukuliaje.
 
asante sana umenena vyema rafiki yaani umenigusa sana
tatizo ni kutokujiamin kwa kile ulichonacho na kutaka "kuishi juu ya jina..haiwezekani leo hii tuntufye, halima ama rozy uishi "J-lo" au rama, nicco, hamza aishi "Ronaldo" yeye ni yeye na wewe ni wewe. Kila mtu ananafas na namna yake kimuonekano, kimaisha, kifkra na kila nyanja katika dunia hii. Hebu jiamin na jikubali uone waliokuzunguka watakuchukuliaje.
 
kama ni namna ambavyo Mwenyezi MUNGU amekuumba , hilo sina tatizo nalo kwani ukivunja self-esteem yako itakuwa unajiangamiza,,,,,,,,,,, mimi tatizo ninaloongelea hapa ni ile kumpa mtu moyo kwa majanga ya kimwili aliyojitakia.

kwa mfano hakuna mtu amezaliwa na kitambia , lakini leo hii unakuwa mtu (wanaume kwa wanawake) katika umri wa miaka 20 tu anamtumbo utadhani kabeba kabati la nguo humo tumboni halafu mtu aje aseme hiyo ni kazi ya muumbaji , hell NO.

Hapo umenigusa, kwa upande wa wanaume nakubaliana na wewe kuwa na kitambi ni starehe na maendekezo yake, ila kwa mwanamke aliyezaa watoto 3 kuendelea, wengine matumbo yao baada ya uzazi hayarudi kama awali atajitahidi litarudi ila litakuwa limelepweta au linaning'inia chini kidogo sasa hapo ni uumbaji wa mungu au amejiendekeza?
Note kuzaa ni kushiriki uumbaji wa mungu na tumbo linatanuka kwa muda wa miezi tisa likiwa na kitu ndani how do u take that? mie nakataa kwa wanawake japo wapo wanaojikanda na kujitesa kwa ajili ya kuwa kama waschana kumbe anawatoto 5.
 
hujawahi kuona mwanamke amezaa watoto lakini hana hizo kitambi?

michelle obama ana watoto wawili lakini mbona hana kitambi? au yeye mimba yake haikutanua tumbo lake?

Yes! nasema ni kujiendekeza na life style yetu ya maisha ndiyo inatupelekea hivyo.............

hapa hapa bongo kuna wadada ukikutana naye ukaambiwa ameshazaa huwezi kuamini na kuna wengine unakutana naye inakubidi uulize kama ameshazaa kumbe hata hajazaa...........

nakuhakikishia sehemu kubwa ya kasoro zetu katika miili yetu ambayo hatuikubalia au wenzi wetu hawayakubali ni ya kujitakia wenyewe.........
 
"Utanitambuaje kama nimeokoka....matendo jamani matendo...." - Boni Mwaitege
 
hizi ni dalili za kujikataa au kukataliwa ni maumivu ya ndani (utu wake wa ndani)
1. roho ya kukataliwa na kujikataa
watu wengi wenye maumivu ya ndani kutokana na kujikataa au kukataliwa huwa.
Hii ni hali ya kujiona hapendwi na hakubaliki mfano kama mtoto akiwa shule dawati analokaa wengine wote wanahama au kama yupo ofisini anaweza kuchukiwa bila sababu na wakati mwingine kusingiziwa jambo ambalo hakulifanya na hii inaweza kumletea madhara hata ya kufukuzwa kazi.
Hali hii ikiendelea mtu huweza kufikia hatua ya kujikataa yeye mwenyewe na hali huwa mbaya zaidi. Kwani huweza kusababisha hata huyu mtu kujiua asiposaidiwa.

· huwa awaangalii mambo mazuri
· wengi wanaangaika na pombe na mambo ya dunia
· huwa wanaamini kwa kushughulika na mambo ya dunia wanatibu madhaifu yao
· huwa wana tabia chafu
o uzinzi
o hasira
o utumiaji wa madawa ya kulevya
o hasira
o n.k
· katika ubatili wa nia zao , akili yao imetiwa giza
· wengi tumekata tamaa
· nafsi imetiwa ganzi na mwisho mtu huwa anakufa
· hutawaliwa na roho ya kulalamika
· analalamika kwa kuwa amekataliwa
· kutoka 17:3
· Mtu aliyekataliwa hawezi kuwa na maamuzi
· Mtu mwenye roho ya kukataliwa au kujikataa hawezi kuuona ufalme wa MUNGU
tatizo hili halianzii juju tu katika ulimwengu wa roho

lina vyanzo saba
I. Mti wa ukoo
II. Kutungwa mimba
III. Miezi tisa tumboni mwa mama
IV. Siku ya kuzaliwa
V. Utoto wangu mpaka miaka saba
VI. Miaka saba mpaka kubarehe/kuvunja ungo
VII. Kuvunja ungo/kubarehe mpaka maisha ya sasa ya utu uzima.
 
Cousin, umenena ukweli mtupu, nivyema mtu kujikubali jinsi alivyo maana hata akijifekisha mwisho wa siku anaambulia kupata madhara makubwa na kuanza kujuta!!!!
 
binamu kumbe upo
watu wameshindwa kujielewa jinsi walivyo na wamejikataa wao wenyewe kisa eti maumbile
ni mabaya yaani imefikia dhana ya mtu kutaka kujibadilisha maumbile yake
mwanamme anataka kuwa mwanamke mambo gani tena haya tunakwenda wapi au ndo mambo
ya sodoma na gomora

dalili ya mvua ni mawingu....! Kila mmoja atajibu mbele ya Allah,,,,, waache wafurahi sasa wakati wakiinamishwa migongo ila watalia na kusaga meno hiyo siku ikifika!!!!!!!
 
Back
Top Bottom