Jinsi ulivyo ndivyo ulivyo - Jitambue

Jinsi ulivyo ndivyo ulivyo - Jitambue

tatizo kujitambua na kujikubali ni kitu kiachoengwa toka utotoni!
soo sad yani!
Umesema kweli rafiki. Kujitambua na kujikubali kunategemea sana malezi aliyopata mhusika. Hebu ona utakuta mtu toka utoto wake anaitwa mbwa sasa mtoto wa aina hii akikua hawezi kua na confidence ni mpaka Mungu aingilie kati; Wengine wamelinganishwa sura zao kama kopo au kitu chochote kibaya. Halafu tusisahau jamii nayo ina mchango mkubwa sana ktk maisha yetu ; kama jamii ikikubeza basi unaweza kujikuta umeingia ktk kundi la wasiojiamini. ladyfurahia umeandika vizuri na hii inawezekana kutoweka iwapo wazazi wa leo tutajitahidi kuwatia moyo watoto wetu na kuepuka kuwabeza.
 
Last edited by a moderator:
asante bestito be blessed

Back
Top Bottom